Gareth Bale ameweka wazi shauku yake ya kutaka kuondoka Real madrid na kutafuta timu nyingine ambayo itampa nafasi ya kucheza huku ripoti zikidai kuwa ana nafasi kubwa ya kurejea England.

Mchezaji huyo mwenye miaka 31, anataka kuondoka klabuni hapo kwa kuwa hana mawasiliano mazuri na kocha Zinadine Zidane ambaye amekuwa hampangi katika kikosi cha kwanza.
Bale ilikuwa ajiunge na klabu ya Ligi kuu nchini China,Jiangsu Suning katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi kwa msimu uliopita lakini dili hilo halikufanikiwa.

Bale alisema kuwa kuendelea kubaki Real Madrid ama kuondoka uamuzi wa mwisho upo kwa uongozi wa Madrid wenyewe.
“Nilijaribu kutaka kuondoka mwaka jana, lakini walizuia kila kitu katika dakika za mwisho, ulikuw ampango ambao niliuandaa kw amuda mrefu lakini nasikitika haukufanikiwa.”alisema.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Zeiyana
Sijui zidane hana mpango gani na bale..!
farida ahmadi
Bale angerudi katika nafasi yake kama alivyokuwa mwanzo alikuwa vizuri lakini kwa kipindi kirefu Sana ajafanya vizuri katika klabu ya real Madrid
Caroline
Bale ameona mbali sana
Elika
Huyo Zidane naye anamtakia nini gareth balle,,
Adelta
Bale angerudi tu@meridianbettz
magdalena
bale angerudi tu uingereza maana uko aliko amekuwa kama ameshuka kimpira sababu sioni kama kuna ushindani mkubwa
Ester jackson
Uwamuzi mzuri sana hapo ukiondoka naamini kuwa utakuwa kimchezo na umaarufu utazidi ya hapo mana ilikuwa unapotea
Mwajumah
Zidane jamn unampango gan na bale#Meridianbettz
Dorophina
Bale Ni bora angeenda huko anapoona yeye panamfaa akaendeleze mpira
felister
tatizo nini lilopo Kati yao…?
Fatina mfigi
Hapo kuna Jambo wajumbe!!
Ernest
Kwa Kifupi Bale anadeni na EPL maana aliondoka wakati yupo kwenye form kubwa sana hivyo kwa upande wa uingereza hatukumfaidi kama atapata chance basi ni wakati wake kumalizia kile alichoanzisha miaka michache iliyopita akiwa na Spurs.
Sauda
Bale kama vipi badilisha upepo
Lydia Emmanuel Magoti
Bale fanya mamuzi uwende semu usika unapo pahidaji
Mwanahamisi
Bale bora ukatizame upepo mwingine
Tatu
Bale bora aondoke akatafute timu nyingine naona zidane atakii mwezio maisha mazuri
Samiah
Akwendetu huko Bale
rama
jambo zuri akipata timu ambayo atakuwa kipenzi cha kocha
Shafii
Bale kwa uingereza anacheza club yeyote ile kwani uwezo bado anao.
Latifa juma mohamed
Sielewi kwa zidane ana mpango gani na huyu nyota machachari Bale.
Nasra
Jambo zuri
Genia Sikaluzwe
Ni Jambo jema
Sadick
Bale hajaonyesha mchango wake pengine kwa sababu namba anayocheza sio ile aliyokuwa anacheza akiwa Tottenham#meridianbettz
marry
gud news
Furahav
Aende tu EPL
Issa
Ni safi kwa bale kurudi kwa epl ila akijiunga na chelsea itakua makini sana
Khadija
Kama vip bare akabadilishe mazingira#meridianbettz
Rose kapinga
Zidane vipi? mbona kijana analalamika wakati juhudi zake zinaonekana!!!
Hope mwaikuka
Balle sepa tu mdogo ang maisha popote
Saupha mohamed
Bale tuliza akili
Badilisha upepo
Shani
Kwa kurud epl ni bora ukakinukishe the gunners
Neema
Mie naona bora asepe tu akabadilishee mazingira kwingine
Sabrina
Kama hana maelewano mazuri na zidane asepe tu
Povel
Welcome Epl bale
Amiri Kayera
Sasa ni mda wake kuondok
Gabriel
bale angerudi tu uingereza maana uko aliko amekuwa kama ameshuka kimpira sababu sioni kama kuna ushindani mkubwa
Tahiya
Daah EPl hakuna timu inayomtaka balle jamani aende huko
warda
Aje Basi EPL