Nyota wa Barcelona Antoine Griezmann anatumaini nahodha wa timu ya Barcelona Lionel Messi ataendelea kuwepo Barcelona baada ya kuwepo kwa sekeseke la nyota huyo kutaka kuihama klabu hiyo.
Messi aliiambia Barcelona kuwa anataka kuondoka Camp Nou ambako ametumia muda wote wa soka lake tangu akiwa mdogo, na amekuwa akihusishwa kumfuata kocha wake wa zamani Pep Guardiola katika klabu ya Manchester City.
Lakini baba wa Messi, Jorge amesema kwamba mshindi huyo wa tuzo ya Ballon d’Or kunauwezeka asiondoke klabuni hapo ili amalize mwaka mmoja uliyobakia kwenye mkataba kuliko kulazimisha kuondoka kwa haraka.

Griezmann, aliyetua katika klabu ya Barcelona akitokea Atletico Madrid mwanzo mwa msimu 2019-20 anamahusiano mazuri na Messi amesema kwamba.
“Tunajaribu kuwajuza kuhusu swala hili, lakini ni kuhusu yeye na klabu,” Griezmann aliiambia M6 ikiwa Ufaransa inajiandaa na mchezo wa Jumamosi dhidi ya Sweeden jijini Stockholm.
“Wote tunaimani ataendelea kubaki, najaribu kuzingatia katika timu ya taifa sasa na tunajiandaa kwaajili ya michezo miwili ijayo.
Griezmann alifunga magoli 15 katika mashindano yote katika msimu wake wa kwanza akiwa na Barcelona, wakati klabu hiyo ikiwa na msimu mbaya kwa kushindwa kutetea ubingwa wa LaLiga mbele ya Real Madrid, na kupata kipigo cha aibu kutoka kwa timu ya Bayern Munich kwenye michuano ya Champions League.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Zeiyana
Me naona messi angeangalia upande mwengine tu na sio kuama Barcelona ingekua vizuri hawe kama kocha msaidizi tu
farida ahmadi
Griezman ni mchezaji mzuri Sana pia hanaweza akaisadia klabu yake ya Barcelona kwa kiwango kikubwa Sana hivyo aachane na Messi na maamuzi yake akitaka kuondoka Barcelona hama kubaki Barcelona
Caroline
Usiusemee moyo wa mtu yeye mwenyew ndo ataamua
Elika
Dah..mess nae amewaza nini mpaka kutaka kuondoka clabun hapo
magdalena
messi kashaamua kutaka kuondoka barcelona sizani kama anaweza kumuelewa mtu
Adelta
Messi aondoke tu @meridianbettz
Ester jackson
Hii ni aibu kubwa sana kwa klaba kuonyesha kuwa hawana uwezo wa kusimama mwenyewe bila ya mchezaji mkongwe messi ndiyo mana wanazidi kumuwekea vipingamizi ili abaki na kuendelea kumshawishi kutumikia klabu yaooo
Dorophina
Baba yake Messi yupo sahihi Messi angemalizia tu mkataba wake iliakimaliza awe na uhuru wa kuchagua wapi anataka kwenda kumalizia kipaji chake
Mwajumah
Acha Messi amalize mkataba wake afanye maamuzi yake binafsi achague mwenyew pa kwenda#Meridianbettz
felister
messi mwenyewe kashaamua ivyo anataka kuondoka
Fatina mfingi
Messi Ni mtu mzima na anajua nn afanye kwaiyo yy ndo anajua huamuzi hatao chukua cc wengine Ni wasubiriaji tyu!
Sauda
Messi hawezi kuondoka Barca
Ernest
Messi akibaki Barca ni kazi bure maana ataondoka kama Free Agent, Kipi bora Barca wanatakiwa waangalie swala hili kwa makini zaidi sababu wanaweza tumia fedha zitakazopatikana kujijenga zaidi kwa ajili ya future kuliko kuvutana na mchezaji ambae amewapatia heshima kubwa sana kwenye ulimwengu wa Soka.
Lydia Emmanuel Magoti
Barcelona wanajipa moyo Kama Messi ataendelea kusali Apo krabuni Barcelona Wamuwache asepe uwamuzi anao yeye Kama kubaki hau kuondoka
Mwanahamisi
Messi hawezi kuondoka barca
Tatu
Messi anaweza kuondoka Barcelona mda Wowote mwenyewe ameshachoka kubaki club hapo
rama
mhhh sizani kama messi ata weza baki barcelona
Shafii
Kwa hali jinsi ilivyo hadi sasa kunauwezekano mkubwa wa messi kusalia camp nou
Genia Sikaluzwe
Messi hawezi kuondoka Barcelona
Latifa juma mohamed
Wote tunaimani ataendelea kubaki,Messi professional player.
Nasra
Mwachieni messi aende tu
Sadick
Antoine Griezmann wa Atletico sio huyu wa Barcelona pengine kutokana na kutocheza namba yake ya aliyozoea#meridianbettz
marry
nice
Furahav
Daaaa!!! ! Messi akiondoka barca itakua hovyo.
Issa
Mess kubaki barcelona ni aslimia kubwa kwa kuwa ye ndio legend aliebak kuwaelekeza wachezaji wengine waliobakia
JULIANA
Nitaamia uko uko kwa Messi
Khadija
Messi hawezi kuindoka barc#meridianbettz
Rose kapinga
Mkimlazimisha sana kubaki wakati moyo wake ushatoa maamuzi,atawaletea mauza uza mtajuta kumfahamu!!!
Hope mwaikuka
Nadhan awez ondoka barca
Saupha mohamed
Mwacheni afanye maamuzi yake
Shani
Mess kubaki barca ni uhakika sabab barca inatak hela ndefu
Neema
Akibakii au akiondoka ni sawa tu
Sabrina
Mwenyewe anataka kuondoka na atasepa tu
Povel
Messi Atabaki hata mm naona hlo
Amiri Kayera
Mess send popot
Gabriel
messi angeangalia upande mwengine tu na sio kuama Barcelona ingekua vizuri hawe kama kocha msaidizi tu
warda
Messi ni mwoga kutoka Barca