Arteta Akiri Aubameyang Atasaini Dili Jipya

Mikel Arteta,  Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa mshambuliaji wake namba moja Pierre Emerick Aubameyang atasaini dili jipya hivi karibuni.

Arteta ameongoza kikosi chake kutwaa mataji mawili kwa kuzinyoosha timu kubwa ikiwa ni pamoja na ule wa Kombe la FA ambapo aliichapa Chelsea mabao 2-1 na taji la Ngao ya Jamii alishinda kwa penalti 5-4 mbele ya Liverpool baada ya dakika 90 kutoka sare ya bao 1-1.

Mtupiaji wa mabao yote matatu alikuwa ni nahodha Aubameyang ambaye amekuwa akitajwa kutaka kuondoka ndani ya kikosi hicho.

Arteta amesema:”Nimekuwa nikisema jambo lilelile kuhusu Aubameyang. Ni mchezaji mzuri ambaye anaweza kucheza michezo mikubwa.

 

“Nimekuwa nikipambana kuhakikisha namshawishi ili aweze kubaki kwenye timu hii naamini kuwa atakubali kusaini kwa kuwa hii ni timu yake bora na tukiwa pamoja tutafanya makubwa msimu ujao,”.

Msimu mpya wa Ligi Kuu England unatarajiwa kuanza Septemba 12 na mabingwa watetezi ni Liverpool.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

34 Komentara

    Arteta yupo vsahihi ukiangalia ni kweli aubameyang amefanya kazi kubwa sana pale klabuni ersenal

    Jibu

    Aubameyang ni mchezaji mzuri.na anaweza kucheza michezo mikubwa..atakapoenda watanufaika nae mno

    Jibu

    Hongera sana miker alteta kwa kukiongoza vyema hicho kikosi chake

    Jibu

    arteta anahitaji kusahihisha makosa yaliyopita yasijirudie tena juu y kukisuka kikosi chake

    Jibu

    Hongera Sana kijana kwa kuongoza kikosi chako vizuri@meridianbettz

    Jibu

    Aubameyang yupo vizuri anamchango wake mkubwa kwa arsenal safari hii arteta ajitahidi Mambo yawe mazuri

    Jibu

    Safii sana kuongezewa mkataba ila kwa kushinda kwa arsenal ni bahati sana mana bado viwango vyao vidogo na tukiangalia upande wa Chelsea Mara zote wamekuwa wakitoa ushindi kirahisi.

    Jibu

    Pongez kwake arteta kwa kukiongoza vizur kikosi chake#Meridianbettz

    Jibu

    Aubemayang ni mchezaji mzuri ambaye anacheza michezo mikubwa

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hapa tuache ushabiki lakini Aubameyang kuendelea kubaki Arsenal ni kujicheleweshea mataji makubwa kama mchezaji ambae umri wake unamtupa mkono sasa.

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Arteta ameitoa mbali timu ya arsenal na amewaweka sawa wachezaji wake kuwafanya wapate dili nono

    Jibu

    Safii Sana kuongezewa mkataba nijambo zuri Sana mpambanaji Uyo

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Nina imani arteta atambakisha aubameyang arsenal.

    Jibu

    Pongezi kwako

    Jibu

    Arteta amekuwa na wasiwasi uwezekano wa Aubameyang kuondoka na kwahali hiyo inaweza kupelekea akalipwa pesa nyingi mkataba mno#meridianbettz

    Jibu

    Auba mtu makini the gunners aterta kumwacha ni kosa kubwa

    Jibu

    Safi sana kuongezewa mkataba hika kushinda kwa Arsenal ni bahati sana#meridianbettz

    Jibu

    Saini tuu uendelee kusakata kabumbu klabuni hapo!!!!

    Jibu

    Ni vzur maana kaz yake imeonekana

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Auba kaipaisha the gunners msimu huu na arteta kumuachia ni ngumu kwa msimu huu

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Aubameyany ni tishio anakimbiza mbaya

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongez kwak

    Jibu

    Pongez kwake Kama atasalia na kusain deal jipya

    Jibu

    Jamb zur km atafanikiw kubakishw

    Jibu

    Hongera sana miker arteta kwa kukiongoza vyema hicho kikosi chake

    Jibu

    Hicho ndicho tulichokuwa tunakitaka kukisikia mashabiki wake

    Jibu

    Iko poa sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.