Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Brazil watalipwa posho sawa na wachezaji wa timu ya wanaume ametangaza Rais wa shirikisho la soka Brazil CBF Rogerio Caboclo.
Malipo haya yataanza katika michuano ya Olimpiki itakayofanyika mwakani na katika fainali za kombe la Dunia.
Rogerio Caboclo. Amesema “itakuwa sawa kwa wote kama mapendekezo ya FIFA yanavyotaka kwenye soka la wanawake, hivyo hakutakuwa na utofauti wa jinsia”.
Hata hivyo Uingereza nayo imeungana na Brazil katika kupitisha sheria hiyo, hivyo wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Uingereza watalipwa posho sawa na wachezaji wa timu ya wanaume.
CBF na FA yanakuwa miongoni mwa mashirikisho machache Duniani yanayolipa posho sawa kwa timu za taifa za wanawake na wanaume, mataifa mengine yanayofanya hivyo ni Astrallia, Norway na New Zealand.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.
farida ahmadi
Hii ni habari njema Sana kwa kuona haki za wanawake natumai nao pia watafanya vizuri katika kazi zao
Elika
Hiyo itakuwa imekaa sawa kabisa..maana wapo kazini
Caroline
Ubaguzi wa kijinsia haukubaliki
Adelta
Wanastahili pongezi kwa kiwango walichofikia@meridianbettz
magdalena
haki ikiwa sawa kwa wote inapendeza sana
Ester jackson
Jambo nzuri sana sasa ubaguzi unapota mdogo mdogo pongezi sana Rais wa shirikisho la soka Brazil CBF Rogerio Caboclo kwa uwamuzi mlio fikia
Mwajumah
Ni habari njema sana na pongez kwake Rais wa shirikisho la soka Brazil kwa uwamuzi mliofikia#Meridianbettz
felister
safi raisi wa shirikisho la soka la Brazil amefanya jambo nzuri haki sawa kwa wote hakuna haja ya ubaguzi
Fatina mfigi
Daah Ni Jambo zur kuona wanawake wanapewa kipaumbele
Dorophina
Wamefanya vizuri kuwawekea haki sawa na wanaume kwasababu wote wanafanya kazi sawa
Sauda
Ubaguzi wa kijinsia tupa kule!!!!!
Ernest
Naona Uingereza wameamua kufuata nyayo za Brazil, Ni Hatua nzuri sana
Tatu
Kweli hili jambo nzuri sana kufanya hvyo haki sawa kwa kila mtu na naona kazi wanayoifanya inafanana ni vizuri kulipwa sawa
Mwanahamisi
Kumbe kweli wanawake tunaweza
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri Sana Kama wataripwa sawa pongezi zake Rais washilikisho lasoka Brazil CBF Rogerio kaboclo kwa wamuzi mlio fikia wanawake Wa Brazil wapo vizuri nakujituma pia Wana weza wapambanaji
Samiah
Hpn chezea wanawakee wewwwwe
rama
jambo jema sana hilii
Sadick
Hatua hii inaongeza umaarufu wa soka la wanawake na kuongeza ushindani ktk soka la wanawake#meridianbettz
Shafii
Hii italeta chachu ya kukua kwa soka la wanawake duniani.
Latifa juma mohamed
Kiwango walichofikia wanastahili pongezi.
Nasra
Pongezi zinastahili
Genia Sikaluzwe
Ni habari njema hizo
Furahav
Habari nzuri.
Issa
Ni sawa kwa chama cha soka cha brazil kutoa fursa hii
Khadija
Safi sana kwani sasa hiv haki sawa kwa wote hakuna mwanamke wala mwanaume#meridianbettz
JULIANA
Asante kwataharifa
Rose kapinga
Ukisikia haki sawa ndio hii sasa tunaanzia kwenye maslahi!!!
Hope mwaikuka
Inapendeza sana maana wote wanatumikia taifa
Saupha mohamed
Jambo zuri safi
Edgar
Kweli kabisa hii italeta hamasa kwa wachezaji
Shani
Safi kwao kwa kuleta usaw kwenye soka
Neema
Hii habari nimeipenda mno.haki sawa kwa wote
Sabrina
Safi sana hii
Povel
Nice update
Amiri Kayera
Doh hii ndo haki sawa
Isaya massawe
Hii imekaa poa sana hii
Gabriel
ubaguzi unapota mdogo mdogo pongezi sana Rais wa shirikisho la soka Brazil CBF Rogerio Caboclo kwa uwamuzi mlio fikia
Tahiya
Ni jambo njem hilo no kubaguana
warda
Hii Nimeipenda