Klabu ya Barcelona imethibitisha kufanyia marekebisho ya uwanja wa Camp Nou na wametangaza kuwa timu hiyo msimu wa 2023-24 itatumia uwanja wa Olympic kwenye eneo la Montjuic ndani ya jiji hilo.

Uboreshaji utaanza mwezi June, baada ya kumaliza kwa msimu huu, baada ya bodi kuthibitisha kiasi cha €1.5 billion ili kuweza kufanya maboresho ya uwanja huo maarufu dunia .

Barcelona

Inatarajia kuwa maboresho yatachukua miaka minne kwa kazi zote kumalizika, hii inamaanisha kuwa Barcelona watapaswa kuhama kwa msimu ujao na kuhamia kwenye uwanja wa Olympic ambao unatumika na timu ya Espanyol.

Klabu ya Barcelona itaweza kuutumia uwanja wa Camp Nuo kwa msimu unaofuata, baada ya msimu 2023-24, huku wakitarajiwa kupunguza idadi ya watazamaji kwa asilimia 50 kwa sababu za ujenzi.

“Kitakuwa kiwanja bora duniani, ndani ya jiji bora duniani, ndani ya nchi bora duniani”                                                                    Joan Laporta

Kiwanja kipya kitakuwa na umbo la mstatiri, huku juu kukiwa kumefunikwa na solar panels ambazo zitakuwa zinasidia kutengeneza nishati, na screen yenye umbo la 360 ambayo itakuwa inazunguka ndani ya uwanja.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa