Biashara United Kutumia Uwanja wa CCM Kirumba.

 

Klabu ya Biashara United imechagua kutumia Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kama uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

 

Timu hiyo ambayo itashiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza imepangwa kuanzia hatua za awali ikianzia ugenini dhidi ya FC Dikhil ya Djibouti ambapo mchezo wa kwanza utapigwa kati ya Septemba 10 na 12, huku mechi ya marudiano ikichezwa Septemba 17-19, mwaka huu.

Mwenyekiti wa Biashara United, Seleman Mataso amesema kuwa tayari wameshawasilisha barua TFF, huku wakiwa wamepata baraka zote kutoka kwa wasimamizi wa Uwanja wa CCM Kirumba.


MUDA NI MKWANJA, MKWANJA NI SAHARA RICHES.

Ni muda wa kuwa milionea na kasino za mtandaoni za meridianbet, mchezo wa Sahara Riches unakupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu. Matajiri wa jangwani wanataka wakupe mkwanja leo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.