Kiungo wa zamani wa Barcelona na AC Milan, Kevin-Prince Boateng ameagana rasmi na Fiorentina na kujiunga na kikosi cha Monza kinachoshiriki Ligi ya Daraja la Kwanza nchini Italia (Serie B).
Nyota huyo mwenye umri wa 33 atakuwa huru kurefusha muda wa kuhudumu kwake kambini mwa Monza kwa mwaka mmoja zaidi baada ya mkataba wa sasa kukamilika Juni 2021.

Boateng ambaye ni mzawa wa Ujerumani na raia wa Ghana, alivalia jezi za Besiktas ya Uturuki kwa nusu ya kampeni zote za msimu uliopita wa 2019-20.
Kwa kuingia katika sajili rasmi ya Monza, Kiungo huyo ambaye pia amewahi kucheza Tottenham Hotspur, Portsmounth na Schalke, anaungana sasa na mmiliki wa zamani wa AC Milan, Silvio Berlusconi.

Akiwa AC Milan, Boateng aliwaongoza kutwaa taji la Serie A huku Berlusconi Adriano Galliani ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Monza wakiwa vinara wakuu wa Milan.
Kevin-Prince ni kakaye mkubwa beki matata wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani, Jerome Boateng.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Adelta
Good news 👍
magdalena
mambo mazuri na habari nzuri maana kijana ni mahiri sana katika mpira
Elika
Safi sana kijana yuko vizur
Dorophina
Wamepata mchezaji mzuri sana
Angelina
Ni mchezaji bora
Mwanahamisi
Kijana yupo vizuri sana
Mwajumah
Ni mchezaji mzuri sana wamepata
Fatina mfigi
Safii
Caroline
Karibu Monza
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana Monza
Venerose
Boateng yupo makini
Ester jackson
Good news
Tatu
Safi sana kijana
Ernest
Boateng kiwango kimeshuka sana
Neema
Yuko vzr sana kijana
aisha
Boateng yuko vizuri sana
Khadija
Good
Nasra
Gud
Nasra
Gud news
Sabrina
Safii
Saupha mohamed
Jamaa yupo vizurii
Rose kapinga
Habari njema kwa mashabik!!!
felister
safi
Amiri Kayera
Mwanasok mkongw sasa anamalzia soka lake
David Pere
mambo mazuri na habari nzuri maana kijana ni mahiri sana katika mpira
Sauda
Kijana makini sana
Hopemwaikuka
Waoo
Shani
Boateng yupo safi san
Povel
Boateng amashuka kiwango Sana mpaka ligi ya daraja la chini
Latifa juma mohamed
Safi Sana kijana.
Gabriel
Karibu Monza
Samiah
Safi