Bournemouth waliwapiga Crystal Palace 11-10 kupitia mikwaju ya penalti kwenye raundi ya pili ya Carabao Cup baada ya kuambulia sare tasa mwishoni mwa dakika 90 mnamo Septemba 15, 2020.
Ushindi wa Bournemouth uliwakatia tiketi ya kuchuana sasa na mabingwa watetezi Manchester City kwenye raundi ya tatu wiki ijayo.

Baada ya wanasoka wote 20 (isipokuwa makipa), kufunga penalti zao, mlinda-lango Wayne Hennessey aliudaka mkwaju wa kipa Asmir Begovic wa Bournemouth kabla ya yeye mwenyewe kuupaisha mkwaju wake juu ya mlingoti.
David Brooks alifunga mkwaju wake wa pili wakati wa kuchanjwa kwa penalti huku Begovic akipangua kombora la Luka Milivojevic kwa upande wa Cherries na kuwapa fursa ya kusonga mbele.

Bournemouth walitamalaki mchezo, wakawazidi maarifa wapinzani wao katika takriban kila idara na kuwaelekezea makombora 17 yaliyolenga shabaha.
Palace walifanya majaribio manne pekee langoni pa The Cherries walioshushwa daraja kwenye Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mwishoni mwa msimu wa 2019-20 baada ya kipindi cha miaka mitano.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Ester jackson
Good news
Tatu
Ushindi wa Bournemouth uliwaweka Kayla utetezi WA mabingwa wakikutana na man city round ya tatu
Sauda
Tunasubiri mtanange
Fatina
Mmh ngoja tusubir tuone!!
Angelina
Man City anashinda mapema tu
felister
habari njema
Adelta
Very good 👍@meridianbettz
Dorophina
Mechi naisubilia kwa hamu inaonekana itakuwa na upinzani mkubwa sana
Elika
Mpira magoli tuone dakk 90
Zeiyana
Man city awana kazi kubwa sana katika hii mechi
Mwanahamisi
Habari njema
sylvester
Bourner watatupwa nje ya mashindano kirahisi tu
Caroline
Bournemouth watachomoa kweli
Tumaini kasalile
Mechi ngumu
Lydia Emmanuel Magoti
Apatoshi mtanange huo patachimbika furu nyavu kutingishwa kwenye lango lamtu hapo
Mwajumah
Tunasubil mtanange huo kwan mpira dakika 90 ndio muamuz#Meridianbettz
Shani
Akuna ajuwahee nani ni nani juu mpira ni mchezo wa uongo lolote lawezekana Bournemouth ata nena baada ya 90!!
Zahara omary
Safii
Theckla
Man City anashinda
Ernest
Ake kuwanyonga ndugu zake
Revina
Mpira ni dakika 90 lakini mechi itakuwa sio ya mchezo mchezo ,acha tuone
Nasra
Ngoja tuone matokeo
Khadija
Asante kwa nakala#meridianbettz
Sabrina
Mtanange utakua wa kufa mtu
Gabriel
Msimu huu EPL inaushindan mkubwa sana hapa wasipoangalia Manchester city wanaweza kufungwa na Bournemouth kwan tunatambua uwezo wa wachezaji wa Bournemouth wako vzur sana 👍
Saupha mohamed
Tusubili matokeo Moira dk90
aisha
Man city leo nilazima afanye maajabu
Johnmary joel
Dakika 90zitaamua#meridianbett#
Samiah
Leo ndio leo
Mariam mtandama
Safi
Hidaya
Hawana chao
lombo
duuh
Janeflora malisa
Mamb mazr
Fatuma kasomo
Safi
Neema
Tusubiriee dakika za mwisho tujue mbabee wao
Amiri Kayera
Huu mzg km mkubwa Kwa Bournemouth
Agness
Mechi ngum hiyo
Shafii
Hii ndo safari ya mwisho ya Bournemouth kwenye haya mashindano.
David Pere
Bourner watatupwa nje ya mashindano kirahisi tu
Povel
Don’t miss
Rose kapinga
Hatari lakini salama!!!
magdalena
man city sidhani kama watakubali kupokea kichapo kirahisi
Njiku
Good news
Latifa juma mohamed
Mtanange mtamu
Hopemwaikuka
🙊