Timu ya Taifa ya Brazil imeingia kwenye rekodi mpya baada ya kucheza mechi 21 mfululizo bila kupoteza katika Mashindano ya Kufuzu Kombe la Dunia.
Kuna timu mbili tu zenye rekodi bora hadi sasa katika michezo ya Kufuzu WC: Hispania (ambayo ina michezo 63 mfululizo bila kupoteza) na Ujerumani (ambayo ana michezo 33 mfululizo).

Brazil ndiyo inayoongoza katika ukanda wa Amerika ya Kusini mpaka sasa, huku ikishika nafasi ya tatu duniani.
Katika mchezo huo Seleção ilishinda goli 2 katika kipindi cha kwanza zilizofungwa na Arthur dakika ya 34 na Richarlison wa Everton dakika ya 45 ya mchezo.
FT’: Uruguay 🇺🇾 0-2 🇧🇷 Brazil
⚽34′: Arthur (0-1)
⚽45′: Richarlison (0-2)
⚀71′: E. Cavani
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Adelta
Good
magdalena
brazil tangu kitambo nawakubali maana wapo vizuri sana
neema hassan
kila la kheri
Ester jackson
Chama language Brazil ni timu ambayo hakuna shabiki asikeijua vizuri ni timu ambayo haipotezi kirahisi tunakumbuka mwaka 2014 ilikuwa iko kwenye wakati ngumu sana na kupelekea kuyumba kwa yimu ila kwa hasaivi imerudi tena Brazil ya zamani imekuwa moto Wa kuotea mbali
Elika
Safi
Sauda
Brazil wana rekodi nzuri
Mwajumah
Safi sana Brazil
Aziza mushi
Safi Sana👍
Angelina
Vizuri
Samira
Sijawahi kuacha kuipenda Brazil wapo vizuri sana
Sadick
Brazil inarudi ktk ubora wake wa miaka ya nyuma.
Gabriel
Brazil ni timu ambayo hakuna shabiki asikeijua vizuri
Fatina mfingi
Brazil wapo vizur
Carolyn
Hongera sana Brazil
Rahma
Safi
Devotha
Hongera sana Brazil
Hopemwaikuka
Brazil nawakubal kinyama
zeiyana
Brazil bado wanaendelelza historia yao toka zamani wanajulika ndio miamba ya soka americ kusini
Nasra
Nice
Fatuma kasomo
Hongera sana
Povel
Congratulations SAMBA boy
aisha
Pongezi kwake
Theonestina
Safi
Sabrina
Ila brazil nawakubali wapo vizuri kwenye soka
felister
kila la kheri
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana kila la kheri kwao brazil
Saupha mohamed
Good
Issa
Brazil haina maajabu kipind hiki