Timu ya Taifa Argentina inaendelea kuwa na fomu bora baada ya kupata ushindi mwingine mzuri ugenini, ukiiweka katika nafasi ya 2 na alama 10 kutoka kwenye michezo 4.
Peru inabaki bila ushindi na inaonekana tayari imepoteana, ikiwa na alama 1 tu katika michezo 4 na kuweka nafasi finyu kuweza kufuzu katika kombe la dunia katika kanda hiyo.

Mshambuliaji wa VfB Stuttgart, Nicolas Gonzalez ndie aliyekuwa wa kwanza kufungua akaunti ya magoli dakika ya 17, kabla ya Lautaro Martinez wa Inter Milan kupigilia msumari wa mwisho dakika ya 28 ya mchezo.
FT’: Peru 🇵🇪 0-2 🇦🇷 Argentina
17’⚽Gonzalez
28’⚽Martinez
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Ester jackson
Game ilikuwa zuri sana kila mchezaji alicheza kwenye kiwango ingawa kwa kipindi cha kwanza Peru walikuwa kama wapo kwenye usingizi ndio mana wakaweza kuruhusu magoli 2 ila kipindi cha pili ilikuwa ni hatari sana ulikuwa mchezo Wa nikupe unipe bila kuona lango la mwezake
Fatina mfingi
Safi sana argentina endelee kukaza buti!!
Adelta
Argentina kwa sasa wako vizuri
neema hassan
Asante kwa makala
magdalena
argentina walistahili kutoka na ushindi sababu mpira mzuri waluicheza na walijituma sana
Sauda
Kazi nzuri Argentina
Elika
Argentina imejipanga sana Safar hii
Mwajumah
Nawakubali sana Argentina
Aziza mushi
Argentina wanajitahidi Sana waendele hivyo hivyo.
Angelina
Goodnews
Samira
Argentina wapo vizuri
Sadick
Inarudi enzi zaArgentina ya Maradona
Gabriel
CONMEBOL nimuano yenye ushindani mkubwa sana
Carolyn
Congrats Argentina
Hopemwaikuka
Gud job
Antony Luseno
Nice
Devotha
Hongera Argentina
zeiyana
Peru sijui wana kwama wapi uwongozi hunaitaji kazi ya ziada sana ili kujenge timu yao hiwe kwenye ubora
Nasra
Safi sana Argentina
Fatuma kasomo
Gud
Povel
Congratulations ARGENTINA
aisha
Nice
Theonestina
Vizur
Sabrina
Safi sana Argentina
felister
kazi nzuri argentina
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi zao argentina
Saupha mohamed
Hongera Argentina
Janeflora malisa
Vzr
Issa
Ni balaa sana