Elneny Akutwa na Covid-19.


Mchezaji wa Arsenal na timu ya Taifa ya Misri, Mohamed Elneny amekutwa na maambukizi ya corona akiwa na timu yake ya taifa katika michuano ya kufuzu kucheza Afcon mwaka 2021.

 

Elneny Akutwa na Covid-19.

Shirikisho la Soka Misri limethibitisha kuwa mchezaji wa Taifa hilo na klabu ya Arsenal Mohamed Ellneny amepimwa na kukutwa na Maambukizi ya Virusi vya Corona.

Mchezaji huyo hatakuwepo katika mchezo wa Leo dhidi ya Togo, Elneny anaungana na Mohamed salah wa Liverpool aliyekutwa na maambukizi hayo mapema wiki iliyopita.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

29 Komentara

    ugonjwa huu umesababisha wachezaji wengi wa vilabu mbalimbali kupoteza uwezo wao kimpira

    Jibu

    Hii corona inasababisha wachezaji wengi sana kuugua.Eee mungu wasaidie wachezaji waepukane na hili janga

    Jibu

    Daaah huu ugonjwa umekuwa tishio sana kwa kweli!!

    Jibu

    Coronavirus sio poa umesababisha hasara kubwa Sana kwa wachezaji

    Jibu

    Duuh hatari poleni sana mwenyezi mungu akawe muuguzi wenu wa kwanza mkapate kupona kwa haraka

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Mungu ni mwema soon atakaa sawa

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole yake.

    Jibu

    Corona bado ni tishio wazid kuchukua tahadhari

    Jibu

    Hii corona upande wa wenzetu bado sana Mungu atusaidie

    Jibu

    Baada ya Mo Salah sasa Elneny ni hasara kwa Liverpool na Arsenal

    Jibu

    Habar ya kusikitisha sana

    Jibu

    Pole Sana Elneny

    Jibu

    Hii sasa too much

    Jibu

    Pole yake apone haraka

    Jibu

    Mpaka kuja kuvuzu kucheza Afcon hinaitajika kazi ya ziada sana kwa kila clabu kutoka na hili gonjwa la korona plas majeruhi hinaitajika akili ya ziada hitumike sana

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Dah pole sana

    Jibu

    Hili ni swala ambalo linasikitisha sana

    Jibu

    Gett well soon

    Jibu

    Pole sana kijana

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole sana dogo

    Jibu

    sad news

    Jibu

    Duu pole yake sio poa Corona

    Jibu

    Dhuu pole sana

    Jibu

    Dah pol

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

Acha ujumbe