ATP Finals 2020: Thiem Amzidi Ufundi Nadal

2020 ikiwa inaelekea ukingoni. Mchezo wa tenesi unapambwa kwa mashindano ya ATP Finals 2020 yanayofanyika nchini Uingereza katika uwanja wa O2 Arena jijni London.

Kuelekea hatua ya nusu fainali ya mashindano ya ATP Finals 2020, Dominic Thiem alikuwa uwanjani kupambana na Rafael Nadal.

Mchezo uliokuwa na ushindani wa aina yake, wachezaji wote walionesha uwezo na kiwango thabiti cha kucheza mchezo wa tenesi. Mpaka mchezo unamalizika katika raundi ya 5, alikuwa ni Thiem aliyemlaza Nadal kwa ushindi wa seti 7-6 (9-7) 7-6 (7-4)

Huu ni ushindi wa pili mfululizo kwa Thiem kwenye mashindano ya ATP mwaka huu. Ushindi wa Dominic unachangizwa na uwezo wake wa kutumia nafasi alizozipata kwenye mchezo ambao Nadal alikuwa akifanya makosa kadhaa yaliyomgharimu.

Stefano Tsitsipas Akishangilia ushindi dhidi ya Andrey Rublev.
Kwingineko kwenye ATP Finals 2020. Stefano Tsitsipas amemuondoa Andrey Rublev kwenye mashindano ya mwaka huu.

Mchezo kati ya Tsitsipas dhidi ya Rublev ulimalizika kwa ushindi wa seti  6-1 4-6 7-6 (8-6) na sasa ni rasmi, Rublev ameondolewa kwenye mashindano haya baada ya kupoteza michezo yake yote.

Tsitsipas atachuana na Rafael Nadal katika kuisaka tiketi ya kucheza hatua ya nusu fainali ya ATP Finals 2020 ambapo mshindi atakutana na Dominic Thiem.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

28 Komentara

    Kila mjanja na mjanja wake

    Jibu

    thiem ata akimzidi ufundi ila nadal ana kiwango kizuri sana katika mchezo wa tennis

    Jibu

    Nadal anajua sana

    Jibu

    Dominic Yuko vizuri

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Atp kumenoga

    Jibu

    Nadal anajua sana

    Jibu

    Good job Nadal

    Jibu

    Nadal anajitahidi kulinda brand yake asishuke big up

    Jibu

    Thiem ameanza kuwa mtamu anataka kuwapiku wakongwe

    Jibu

    Pole Sana Nadal umepata wa kukupiku.

    Jibu

    Nadali Yuko vizuli

    Jibu

    Kwa Nadal sikubal kabahatisha tu

    Jibu

    Vzuri sana nadal

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    ulikua mashandano si ya haina yake kila mmoja alikua hanakiu ya ushindi

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Kwa ushindi huu uenda akaibuka kuwa bingwa

    Jibu

    Themi. FElix ni mwamba anayekuja vzr sana

    Jibu

    Kila mbabe na mbabe wake

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Nadal ndio mwisho wa matatizo ATP

    Jibu

    kwa ushindi huu uweza akawa bingwa

    Jibu

    Nadal yupo vizuri sana

    Jibu

    Nasal anajuaaa

    Jibu

    Nadal anajua sana

    Jibu

    Pongz kwak

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.