Kama ilivyokawaida kwenye ulimwengu wa kandanda, kila baada ya msimu huwa kuna mashindano ya kumtafuta bingwa wa dunia kwenye ngazi ya vilabu ambayo hujulikana kama Fifa Club World Cup.
Mashindano ya Fifa Club World Cup 2020 yalipangwa kuanza kutimua vumbi mwezi Disemba nchini Qatar lakini kutokana na mlipuko wa janga la COVID19 na taratibu mbalimbali zilizowekwa na nchi kama sehemu ya kujilinda, mashindano haya yamesogezwa mbele mpaka Februari 1-11, 2021.
Taarifa rasmi kutoka Fifa inasema ” Club World Cup Qatar 2020 imeathiriwa na changamoto zilizoyakumba mabaraza ya michezo kwenye kila mashindano ya vilabu duniani.
“Kuanzishwa kwa utaratibu maalumu kumefanikisha kurejea kwa michezo na mashindano ya vilabu kwenye nchi mbalimbali ambayo yatakamilika mwishoni mwa mwezi Januari 2021.”

Liverpool walinyakua ubingwa wa Club World Cup 2019 na mwaka huu Bayern Munich watashiriki mashindano hayo wakiwa kama mabingwa wa Ulaya 2019/20.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Fatina mfingi
Duuh sio mbaya!!
Adelta
Mashabiki tunasubiri kwa ham mashindano hayo tuone matokeo Yani zaidi
neema hassan
Asante kwa taarfa
Ester jackson
Daaah corona mbaya sana inakwamisha michezo haswa jamani tulikuwa tunategemea mambo mazuri haraka lakini hasaivi imebadilika daah
magdalena
duhacha tu tuwe wavumilivu maana corona ilijua kuharibu kila mipango
Elika
Dah sio mbaya saaaana Mungu atatuwezesha kufika salama
Sauda
Corona imeshaharibu ratiba.
Mwajumah
Daah hii corona jamni imeaharibu kila kitu haswa hii michezo imekwamisha sana
Aziza mushi
Asanteni kwa taarifa meridianbet.
Angelina
Nice update
Sadick
Kutokana na Covid19 kuingilia ratiba za michezo mingi sana.
Samira
Yaani covid 19 imegoma kabisa kuondoka jamani
Gabriel
corona ilijua kuharibu kila mipango
Rahma
Shukrani kwa tahalifa
Carolyn
Dahh coronavirus imevuruga Sana sekta ya michezo
Hopemwaikuka
Mambo yashakua sio
Devotha
Corona imetuvurugia ratiba
Antony Luseno
Sio jambo baya japo wadau walitarajia kwa hivi karibuni
zeiyana
Soka limekua kama sehemu ya starehe hii ni habari mbaya kwa mashabiki
Nasra
Dah tuwe na subira tu
Fatuma kasomo
Sio jambo baya
Povel
Yote kheri Afya ni kitu bora kuliko kitu chochote
aisha
Civid 19 sio powa
Theonestina
Sawa
Sabrina
Sio mbaya
felister
mambo yashakua sio mambo tena
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sawa ngoja tusubili uvumilivu nacho nimuhimu
Saupha mohamed
Mambo yashakua mengi
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
Issa
Covid ni tishio