Klabu ya Chelsea ina imani kuwa itaweza kumsajili mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling, kama ada ya uhamisho itaafikiwa baina yao na mabingwa hao wa EPL.

Inadaiwa Kocha Thomas Tuchel anavutiwa na uchezaji wa Sterling, huku akiamini Mchezaji huyo anafaa zaidi katika mfumo wa uchezaji wa klabu kuliko Romelu Lukaku.

 

chelsea, Chelsea Mazungumzoni Usajili wa Sterling., Meridianbet

Hata hivyo, Manchester City inaamini Mchezaji huyo ana thamani ya Paundi Milioni 60 huku Blues ikiamini thamani yake inakaribia Paundi Milioni 35.

Chelsea walipekeka dau la ufunguzi la pauni milioni 25 pamoja na nyongeza ambalo lilikataliwa mwishoni mwa wiki. Blues wanatarajiwa kurejea kwa dau lililoboreshwa.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa