Klabu ya Chelsea imeazimia kushinda mbio za kumsajili mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane – kulingana na jarida la Football Insider.

Chelsea wanamtaka mchezaji huyo wa miaka 27, ambaye pia anahusishwa na Manchester United na Manchester City, kama lengo kuu mbele ya dirisha la uhamisho wa majira ya joto.

 

Harry Kane Aikaribia Rekodi ya Rooney Epl.

Kane anaripotiwa kuwa na thamani ya zaidi ya pauni milioni 100 ($ 140ml) lakini imependekezwa atashinikiza kuondoka Spurs ili kutimiza azma yake ya kombe.

Katika msimu huu harry kane amecheza mechi 32 katika mshindano yote akiwa na Tottenham na kufanikiwa kufunga magoli 21 baada ya kuanza msimu akiwa majeruhi.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

chelsea, Chelsea Wamtaka Kane Darajani., Meridianbet

SOMA ZAIDI

16 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa