Derby Ya Kariakoo Rasmi Kupigwa Juni 15

Hatimaye Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepanga mechi ya mzunguko wa pili ya Ligi Kuu ya mchezo baina ya Yanga na Simba ‘Kariakoo Derby’ ambao unatarajiwa kuchezwa Jumapili Juni 15, 2025.

Derby Ya Kariakoo Rasmi Kupigwa Juni 15

Ratiba ya mchezo huo imepangwa leo hii asubuhi kwani mpaka sasa ni mechi chache tuu ambazo zimebaki ligi kumalizika hivyo Bodi hiyo yaligi imeamua kuweka kwenye ratiba mechi hii baada yakuahirisha hapo awali kutokana na sababu zilizotajwa hapo awali.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Lakini ikumbukwe kuwa hapo jana uongozi wa Yanga walitangaza kuwa msimamo wao ni ule ule wa kutokuwa tayari kucheza mchezo huo ambao awali ulikuwa ufanyike Machi 8 mwaka huu.

Mechi ya Derby ya Machi 8 haikuchezwa baada ya kuahirishwa na TPLB kufuatia vurugu zilizojitokeza katika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku moja kabla ya mchezo baada ya Simba kuzuiwa na waliotambulika kuwa ni walinzi wa Yanga ‘makomandoo’ kufanya mazoezi uwanjani hapo.

Derby Ya Kariakoo Rasmi Kupigwa Juni 15

Ratiba mpya iliyotolewa na TPLB imeonyesha kuwa mechi hiyo ya Derby itachezwa Juni 15, saa 11:00 jioni siku ya Jumapili.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo, mechi za mwisho za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu zitachezwa Jumapili, Juni 22 mwaka huu.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.