Baada ya klabu ya Chelsea kuthibitisha beki Ben hilwell kuukosa msimu mzima uliobakia, klabu hiyo imeanza kuwafwatilia Lucas Digne na Sergino Dest kama mbadala wa mchezaji huyo.

Beki wa kushoto Lucas Digne yupo tayari kuondoka Everton baada ya klabu hiyo kuhusishwa na kumsajili Vitaliy Mykolenko baada ya mchezaji huyo kukosa maelewano na kocha Rafa Benitez.
Klabu ya Chelsea imefanya mazungumzo na wakala wa Lucas Digne mapema wiki hii kupata uwezekano wa kuhamishia Stamford Bridge na mpaka sasa anaongoza katika kinyang’anyiro hicho.
Wachezaji wengine wanaotajwa kuziba nafasi hiyo ni beki wa kushoto wa Barcelona, Sergino Dest, Nicolas Tagliafico wa Ajax na Theo Hernandez wa AC Milan.
Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

CHEZA HAPA

