Vilabu vya Serie A vinatazamia kupata nyongeza ya Januari lakini vilabu vya kigeni pia vinafuatilia wachezaji bora katika ligi kuu ya Italia akiwemo Dragusin.
Miongoni mwao ni beki wa kati wa Genoa, Radu Dragusin, ambaye amepokea ofa kutoka kwa Tottenham na Napoli na anadaiwa kutakiwa na Milan na Bayern Munich pia.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Romania anaonekana kukaribia kujiunga na Spurs kwa dili la €30m pamoja na bonasi.
The Rossoneri wamemkaribisha Matteo Gabbia kutoka kwa muda wake wa mkopo Villarreal na kukamilisha ununuzi wa Filippo Terracciano kutoka Hellas Verona.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Beki huyo wa Kiitaliano mwenye uwezo mwingi alifanyiwa vipimo vya afya na Milan Jumatatu asubuhi, kabla ya uhamisho wa kudumu wa €5m.