Bondia wa ngumi za kulipwa Evander Holyfield (58) ambaye alistaafu mwaka 2011 alirejea ulingoni Septemba 12, 2021 katika pambano la maonesho ambapo alipambana na Vitor Belfort (44).
Katika pambano hilo Evander hakuweza kurusha hata ngumi moja dhidi ya mpinzani wake ambapo akapoteza katika raundi ya kwanza kwa TKO.
Evander Holyfield ni bondia pekee aliyeshikilia rekodi ya kushinda mikanda yote ya dunia kwa wakati mmoja (Undisputed Champion) kwenye madaraja ya cruiserweight na heavyweight
Katika pambano hilo raisi wa zamani wa US, Donald Trump na mwanae Don Jr. walikuwa wakichambua pambano hilo wakiwa pamoja na rapa mkongwe 50 Cent.
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!