Ilikua ni kama ndoto ambayo sasa ni uhalisia, Daniil Medvedev atwaa ubingwa wa US Open 2021 mbele ya Novak Djokovic.
Pengine hakuna aliyemdhania Medvedev kwenye mchezo wa fainali, lakini lolote linaweza kutokea na hakika, limetokea.
Kabla ya fainali ya US Open 2021, Medvedev alikuwa ameshapoteza fainali mbili za Grand Slam lakini safari hii, ameonesha uwezo wake na kumburuza Djokovic kwa matokeo ya seti 6-4 6-4 6-4.

Djokovic alikuwa analitafuta taji lake la 4 la Grand Slam msimu huu akiwa tayari ameshabeba matatu – Australian Open, French Open na Wimbledon
Ukiwa na Meridianbet, unaweza kubashiri kwenye michezo ya kila aina! Bashiri kwenye mashindano ya tenesi, soka, NBA, kriketi n.k. Tandaza jamvi lako na Meridianbet kwa kubofya hapa!
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!


