Inadaiwa kwamba mkufunzi wa klabu ya soka ya Newcastle, Rafael Benitez anahitaji kuungana tena na msakata kandanda Martin Skrtel ambaye ni beki wa zamani wa klabu ya Liverpool siku za usoni.
Mchezaji beki huyu ana umri wa miaka 33 na ni raia wa Slovakia ambapo sasa yuko huru kabisa kutimka Fenerbahce ya huko Uturuki ambako yupo kwa sasa. Hii yote ni kwa mujibu wa chanzo cha Aspor cha huko Uturuki.


Povel
Hana njema kwa mashabiki wake