“Fred Amejiunga na Klabu Kubwa Sana!” – Willian

Willian ambaye ni kiungo wa Chelsea na ambaye kwa sasa ni mmoja wa wasakata kabumbu ambao wanaunda timu ya taifa ya Brazil amefunguka na kusema kwamba Fred amejiunga na timu bora sana ulimwenguni.

Fahamu zaidi
Mchezaji Fred naye pia yumo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Brazil anajiunga na klabu ya soka ya Manchester United akitokea Ukraine kwenye klabu ya Shakhtar Donetsk.
Willian anaamini kwamba Fred atawaongezea vitu muhimu sana Manchester United na kwamba anakwenda kwenye moja ya timu kubwa kabisa.

Willian
Mchezaji Willian

Anaendelea kusema kuwa anayo furaha kubwa sana kujiunga Premier League na kuwa aliongea machache juu ya hilo ambapo yeye Willian alimshauri Fred kabla ya uhamisho wake huo kwenda kwa Mashetani Wekundu.

2 Komentara

    Man u Ni timu Bora na kubwa Sana akukosea kusema William#meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.