Pep Guardiola Ajikubali yeye ni Genius kwenye Kufanya Mabadiliko ya Wachezaji

Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola amejisifu kwa kusema yeye ni mtaalam wa kufanya mabadiliko ya wachezaji, kwana mara zote akifanya hivyo ‘sub’ huwa zinamlipa na kumpa matokeo ndani ya uwanja. Mechi zote Meridianbet zina Odds nono na kubwa.

 

guardiola

Kabla ya Grealish na Mahrez kuunganishwa, Guardiola alikuwa amewatuma Rico Lewis na Manuel Akanji kwa Kyle Walker na Joao Cancelo katika jitihada za kuichangamsha timu yake kufuatia kukosekana kwa nguvu kipindi cha kwanza.

“Kipindi cha kwanza kilikuwa cha kizembe,” alisema. “Hatukutengeneza sana, uchezaji wetu ulikuwa mbaya sana hatukuwa na mpangilio mzuri na katika kipindi cha pili haswa tukiwa na Manuel na Rico tulikuwa bora.

“Mimi ni genius. Kwa sababu baada ya Everton niliulizwa kwa nini sikufanya mabadiliko hadi dakika 81. Nilifikiria juu ya hilo leo na kufanya kadhaa. Pata Odds za Soka hapa.

“Tunaweza kupoteza hapa, lakini sasa tuna pengo la pointi tano (kwa Arsenal). Tuna pointi tatu chache za kucheza. Ina maana kubwa lakini tunapaswa kujidhihirisha hivyo kwa sababu ni kawaida kuwa katika nafasi hii baada ya Ligi Kuu nne ndani ya miaka mitano. -Pep Guardiola

“Tungependelea kuwa karibu zaidi lakini kwa jinsi Arsenal wanavyocheza wanastahili kuwa bora zaidi. Kwetu ilikuwa muhimu sana, haswa katika kipindi cha pili, kufahamu kuwa tunaweza kuifanya tena na tena na tena.

Manchester City watawakaribisha Chelsea katika Kombe la FA siku ya Jumapili. Unaweza kubashiri Mubashara na Meridianbet Bonyeza hapa.

Acha ujumbe