Guardiola: Tunatakiwa Kupambana Zaidi Kuikamata Arsenal

Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amesema wanatakiwa kua wakamilifu na kupambana zaidi ili kuwakamata vinara wa ligi kuu klabu ya Arsenal.

Klabu ya Manchester City imekua haipo kwenye kiwango bora siku za hivi karibuni huku akidondosha alama mara kwa mara na kuifanya klabu ya Arsenal kuendelea kutengeneza pngo kubwa la alama dhidi ya klabu hiyo. Klabu ya Arsenal mpaka sasa inaongoza kwa tofauti ya alama nane juu ya City waliopo nafasi ya pili.guardiolaKlabu ya Manchester City itacheza mchezo wake wa ligi siku ya Alhamisi dhidi ya klabu ya Chelsea, Huku kocha Guardiola akikiri kua kama hawatakua makini basi kiwango cha alama dhidi yao na klabu ya Arsenal basi hakitafikiwa.

Kocha Guardiola wakati akiongea na wanahabari amesema kua njia sahihi ya wao kupunguza pengo la alama baina yao na Arsenal ni kucheza vizuri na kushinda mchezo, Huku akisema Arsenal kama wataendelea hivi wanaweza kufika alama 100 na zaidi kinachotakiwa kwao ni kua kamili zaidi na kushinda michezo yao.guardiolaKocha Pep Guardiola alikua anatarajia Arsenal watapunguza makali katika michezo yao lakini wameendelea kua bora siku hadi siku na mchezo dhidi ya Newcastle walicheza vizuri zaidi, Hivo yeye anaona wasipopambana basi itakua ngumu kuwakamata vinara hao.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.