Baada ya juzi kuvishwa taji la Ligi Kuu ya Uingereza, meneja wa klabu mabingwa Manchester City, Pep Guardiola amesema kwamba atawapa wanaye medali yake ya kwanza ya ushindi alioupata!
Meneja huyo amefanikiwa kupata ushindi mnono na kutwaa taji la Ligi Kuu ya Uingereza na anayo matarajio ya kuwika zaidi akiwa na klabu yake hiyo. Wakati wakipewa taji hilo siku ya majuzi walionekana kuwa wenye furaha sana kwa ushindi huo.



Povel
Duh noma sana hiiii