Tetesi za soka zilizovuma mwishoni mwa juma hili zinadai kwamba klabu ya soka ya Bayern Munich inao mpango wa kuwasilisha maombi yake ya kumfanyia usajili mchezaji mshambuliaji wa klabu kongwe ya huko Italia, Juventus na Argentina!
Huyu si mwingine bali ni mchezaji machachari mwenye umri wa miaka 24 kwa sasa, Paulo Dybala na watafanya hivyo endapo tu wao watampoteza mshambuliaji Robert Lewandowski wa huko Poland ambapo inaweza kuwa ni msimu huu.


Gabriel
Habar njema sana 👍