Roberto Martinez Arithi Mikoba ya Fernando Santos Ureno

Martinez: Mhispania huyo, 49, anachukua nafasi ya Fernando Santos, ambaye alijiuzulu baada ya Ureno kushindwa katika robo fainali na Morocco kwenye Kombe la Dunia mwezi uliopita. Meridianbet wanakupatia odds kubwa kila mechi.

 

Martinez

Martinez alijiuzulu kama mkufunzi wa Ubelgiji baada ya miaka sita kuinoa kufuatia kuondoshwa katika hatua ya makundi nchini Qatar.

Rais wa soka wa Ureno Fernando Gomes alisema: “Huu ni wakati muhimu kwa timu ya taifa.”

Martinez, ambaye alitumia miaka minne kama kocha wa Wigan kabla ya kuitumikia Everton kwa miaka mitatu, aliteuliwa kuwa kocha wa Ubelgiji mwaka wa 2016 na kuwaongoza hadi kileleni mwa viwango vya Fifa mwaka 2018.

Pata odds kubwa za soka zilizo nono uongeze ushindi wa beti yako.

Acha ujumbe