Mshambuliaji wa Wekundu wa Msimbazi Simba – Meddie Kagere ameongelea namna alivyoweza kufunga magoli zaidi ya 20 kwa misimu miwili mfululizo.
Itakumbukwa kwamba, Kagere alisajiliwa msimu uliopita (2018-19) akitokea timu ya Gor Mahia inayoshiriki ligi kuu soka nchini Kenya. Katika msimu huo alipachika (Kagere) magoli 23 ya Ligi Kuu Tanzania – VPL na kubeba kiatu cha mfungaji bora.

Kwa msimu huu pekee, Kagere ameshapachika magoli 22 wakati Simba wakiwa na mechi mbili mkononi kabla ya kuhitimisha msimu huu. Kuna kina dalili kwamba mshambuliaji huyu anaweza kufunga magoli zaidi ya aliyofunga msimu uliopita (23).
Akiongelea uwezo wake. Meddie Kagere amesema, ” ninafanya bidii bila kukata tamaa katika kufunga magoli. Huwa ninamuomba Mungu aniongoze katika lolote ninalolifanya. Pia uhusiano wenu katika timu, tunacheza kama timu tukisaidiana kila mmoja. Hii inanisaidia sana mimi kufunga magoli kwani tunacheza kitimu zaidi”
Simba SC ambao tayari wameshatangazwa kama mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania -VPL wanapointi 84 wakiwa na magoli 76. Kuelekea mwisho wa msimu huu wa Ligi Kuu, Simba atakutana na Coastal Union pamoja na Polisi Tanzania.
Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.


Amani
Simba awabaatishi wachezaji big up Sana bro mk14#meridianbettz
Theonestina
Ni kweli kabisa.kagere tunamtegemea wanasimba
Issa
Mk 14 anatisha pale msimbazi
Povelg tz
Mk 14 ( mamba). Hongera kuwa Top score VPL
devotha
hivi wachezaji wakibongo huwa wanastaafu mpira wakiwa na umri gani?
Shafii
Kagere yuko vizuri.
Gabriel
Kagere anajitahid
JULIANA
Yeah Kagere anajitambua anajua amefuata ni ni Tanzania
Amiri Kayera
Analijua San gor
Hope mwaikuka
Kagereeee nomaaaa sanaaaa
Samiah
Yupo vzr Kagere
Janeflora malisa
Yupo vzr sana kagere
Flomena
Kagere ni mchezaji mzuri
Genia Sikaluzwe
Kagere ni mchezaji mahili Sana
Rose kapinga
Jicho moja Ilo Kama garmoshi hakosei
Rehema
Yuko vizuri
Ester jackson
Asante kwa nakala
Theckla
Kagerefu fundi
Revina
Kagere ni daktari wa mpira ,sio hutani
mwakalosi
huyu mzee upepo umeanza kata simba inabidi watafute mbadala wa safu ya ushambuliaji nzima maana wote umri umekwenda sasa
farida ahmadi
Kagere Yuko vzr Sana
mwajumah
Kagere yupo vizuri sana#Meridianbettz
Magdalena
Meddie kagere ni mkali wa nyavu kama Simba awapo porini mawindoni
Leonard
Kagere yupo vizuri
Mwanahamisi
Kagere namkubali
Adelta
Kegere Yuko vizuri
caroline
Kagere fundi kweli
Njiku
Safii kagere
aisha
Uzuri wa simba hawanaga kazi mbovu big up kwako.broo
Khadija
Kagere yupo vizuri mshambuliaji mzuri tu kwenye timu yake#meridianbettz
Sadick
Pamoja na umri wake kuwa mkubwa anajitahidi sana#meridianbettz
Ernest
Binafsi namuona Kagere kama mwiba kwenye swala la kucheka na nyavu, Misumu huu mbali na kukaa benchi mechi mbili 3 lakini ameonyesha kuwa yeye sio mtu wa kubahatisha kwenye kuwatungua makipa bali ni mwamba kabisa
Dorophina
Kagere yupo vizuri sana akiwa uwanjani
Lydia Emmanuel Magoti
Kagere apingwi yupo vizuri mpambanaji huyo najua jembe la simba
Samira
Kegere jembe kweli simba inajivunia kujituma kwake
Fatina mfingi
Yupo vizur sana kagere
Isaya massawe
Kagere fundi
Saupha mohamed
Kagere anajuaaa
Furahav
Kagere zaidi ya mashine.
lombo
kagere jembe
Asia Abdy
Kagere yuko vzuri
tumaini
Maoni:kagere noma sana
Zeiyana
Kagere nyota yake hishashuka alikua zamani
Tatu
Simba wako vizuri kwenye usali awakisei
felister
ahsante kwa makala
fatumakasom
Yupo vizur jembe hilo
David Pere
Jamaa anajua kupachika magoli sanaaa
Issa
Ni shida