Vilabu vinavyoshiriki La Liga vinajiandaa kurejea mazoezini haraka iwezekanavyo baada ya kupewa ruhusa na serikali ya Hispania.
Shuguli za michezo nchi Hispania ulisimamishwa mapema Machi kwasababu ya Corona.
Ligi kuu tayari wameweka utaratibu wakurejea mazoezini baada ya kupata ushauri wa namna gani unafaa.
Lengo ni kumalizia mechi za ligi zilizosalia katikati ya Juni, bila mashabiki.
Kuna mizunguko 11 ya mechi iliyobaki, huku Barcelona wakiwa pointi mbili juu ya Real Madrid kwenye msimamo.

Hispania wametangaza mpango wenye mihula minne kwaajili ya kuitoa nchi katika lockdown na katika ‘muhula sifuri’ kutoka 4-11 May Ligi zinaweza kurejea mazoezini.
La Liga wameweka wa utaratibu wa mazoezi wa kwa mmoja mmoja kisha vikundi vidogo na mazoezi ya timu nzima.
Wachezaji, makocha na viongozi watapimwa kabla ya mazoezi na kupimwa kila siku.
Msimu wa Ligue 1 na Ligue 2 umezuiwa kuendelea Jumanne baada ya Ufaransa kufungia shughuli zote za michezo hadi Septemba.
Baada ya tangazo la Ufaransa,Raisi wa La Liga, Javier Tebas amesema: “Sitaki kuelewa kwanini kutakuwa na hatari kucheza mpira bila mashabiki na tumezingikatia tahadhari zote, kuliko kufanya kazi kwenye kiwanda cha samaki??”


Mwanaidi
Bora ilejee maana tunaisubiri kwa hamu meridian mko vizuri sanaaaa
Hamidu shabani
Safi kabisa
Salma
Itakuwa poa sana
Aziza moshi
Wamalizie ligi isije let’s mkanganyiko Kama haitakwisha jmn
Ernest Kimeru
Cant wait to see pure football again!!! Lets go Laliga>>>>>
Zainabu
Safi Sana tunawasubiri meridianbet coz tulimic kubet
Salma
Ni mwendo wakutoa mikeka
johnmary
itakuwa poa sana
Abram
Sasa kwa jinsi inavyoonesha ligi inarudi lakini kwa masharti fulani kwa vilabu vyote vinatakiwa kufuata au kwa utaratibufurani unatakiwa kufuatwa siyo kama tulivyo zoea #kill covid19😟😟
Sylvester
Uhondo urudi tumemis sana kuangalia michezo hasa hasa soka ligi za majuu
Mariam mtandama
Vizur
Asia Abdy
Burudan zinaongezeka tu
aisha
Habar njema