Watford wamemsaini kiungo wa Ufaransa na Le Havre ya Ligue 2 Pape Gueye, mkataba wake na Watford utaanza rasmi Julai 1.
Mkataba wake na Le Harve unamalizika kipindi cha kiangani lakini msimu wa Ligui 2 ulimaliza Jumanne, baada ya waziri mkuu wa Ufaransa kufuta shughuli zote za michezo hadi Septemba.
Watford wamesema”Mkataba rasmi wa kabla tayari umesaini wa na kinda huyo wa Ufaransa. Watford wamempa mkataba wa miaka 5 kinda huyo ambae aliwahi kuhusushwa kujiunga na Arsenal.
The Hornets kwasasa wapo nafasi moja juu ya mstari wa kushuka daraja, kwa tofauti ya magoli na mechi yao ya mwisho walicheza Machi 7 kabla ya ligi kusimamishwa UK kwasababu ya Janga la Corona.


Hamidu shabani
Ok
Winfrids
Kazi nzuriπ
Abram
Karibu Watford Dogo Pape Gueye….
Mariam mtandama
Vizur
isha
Pepe yuko vizuri