Ni kwa mara ya kwanza kwenye historia ya michuano ya Euro hii mechi zinapigwa kwenye nchi 11 ikiwa ni saa na miji 11

Utaratibu wa mwanzo ulikuwa ni nchi moja mwenyeji au nchi mbili mfano 2012 ilikuwa Poland na Ukraine

Miji

Sasa mwaka huu nchi kama England, Italia, Azerbaijan, Ujerumani, Hungary, Romania, Russia, Scotland, Spain, Uholanzi na Denmark

Huku Ireland ikiondolewa kutokana na changamoto za COVID-19

Nusu fainali na Fainali zitapigwa kwenye dimba la Wembley nchini Uingereza

Huku kwenye viwanja vyote 11, ni Puskas Arena pekee Jijini Budapest ndio utaingiza Mashabiki uwanja mzima huku viwanja vingine ikiwa ni idadi maalum


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa