Lionel Messi amekuwa balozi mpya wa Hard Rock Cafe. Mshindi mara sita wa Ballon d’Or – na ndiye mchezaji pekee katika historia ya mpira wa miguu – amepeleka soka katika upande huo kwa sasa.

Badala yake alichukua gitaa ya umeme kupiga picha kutangaza jukumu lake jipya.

“Ni heshima kuwa sehemu ya chapa hii,” Messi alisema.

“Na kuwa pamoja na rock stars wote katika mwaka maalum kusherehekea miaka yake ya 50.”

Messi pia aliulizwa juu ya dili yake hiyo ya hamburger bora, na nini hiyo ingejumuisha. Jibu lake lilikuwa la moja kwa moja.

“Nyama, nyanya, jibini, mayonesi na yai,” Messi alisema.

Messi alimpatia rais wa Hard Rock International Jim Allen nakala iliyosainiwa ya Ballon d’Or yake, wakati Allen alimpa Muargentina huyo gitaa la umeme iliyoundwa mahsusi kwa ajili yake.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa