Bondia, Ryan Garcia aliangushwa katika raundi ya pili lakini alirudi katika raundi ya saba na kumzuia Luke Campbell na ngumi nzito ya mwili iliyompeleka chini moja kwa moja.
Garcia alijikuta yuko sakafuni katika raundi ya pili ya jaribio lake kubwa hadi sasa lakini alipambana kutoka nyuma na kumshangaza Campbell kwa ngumi nzito ya kushoto iliyomfanya apige goti na kushindwa kuinuka.
Ushindi Jumamosi huko Texas kwa kinda huyo, 22 mwenye kipaji unathibitisha ubora wa Garcia kama moja ya hazina kubwa zaidi katiaka masumbwi Amerika.
Kwa kuchukua jina la mpito la WBC anakuwa mpinzani wa lazima kwa Mmarekani mwenzake ambaye hajashindwa katika pambano lolote, Devin Haney (ambaye anashikilia taji kamili).
Yupo katika sehemu kubwa ya uzani mwepesi pamoja na Teofimo Lopez (bingwa wa IBF, WBA na WBO) na Gervonta Davis (ambaye pia anashikilia toleo la mkanda wa WBA).
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?
felister
kazi nzuri Garcia
Adelta
Garcia Yuko vizuri pongezi kwake
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
Shakila mrope
Kazi nzuri
Chiku
Wako njema sana
Caroline
Hongera zake
Dorophina
Amefanya vizuri sana garcia
Mwanahamisi
Hongera zake
Neema juma
Anastahili kupongezwaa
Saupha mohamed
Hongera
Devotha
Hongera yake👏
Hopemwaikuka
Fresh
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana ongera yake
Angelina
Safi
Magdalena
Ilikuwa bonge LA pambano
warda
Garcia bonge la hazina huko Amerika
Ernest Kimeru
Safi sanaaaaa
Sania
Mtanange ulikuwa mkali sana
Issa
Balaa
Sabrina
Noma sana