GATUSSO - Tuna wakaribisha Ac Millan kwa Tahadhari Kubwa

Genaro Gattuso anatajwa kama moja ya magwiji wa Ac Milan lakini hii leo ataweka ugwiji wake pembeni na kuwavaa Milan ambao wanaonekana “gari imewaka” akiwa kocha wa Napoli. Tangu baada ya Corona Milan wameshinda mechi 4/5 huku wakifunga mabao 15 na kufungwa 5 na week iliyopita wakifanya come back kubwa kwa vinara wa ligi Juventus.

Napoli nao wanaonekana wako katika fomu nzuri,na kizuri zaidi kwao ni rekodi zao vs Milan kwani kwenye mechi 25 walizokutana tangu 2008 Ac Milan wameshinda mechi 5 tu kati ya hizo wakipigwa mara 10 huku mechi 6 za mwisho wakiwa nyumbani wakishinda zote.

Mimi sio mtabiri lakini ugumu wanaoupata Milan wakienda nyumbani kwa Napoli(San Paulo) ni mgumu sana lakini pia kiwango cha Milan siku za karibuni kinampa mashaka mtu yeyote kuwaua,hapa naona sare.

41 Komentara

    Gatusso anajua majukum yake na nn anafanya

    Jibu

    He gatusso anaweza kuifunga timu take ya zamani akiwa Kama kocjha wa Napoli ,au atawapatia upendeleo

    Jibu

    Nihabari njema hz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    mpira kuna muda inabidi uumize unapopapenda

    Jibu

    Gatusson anajua nini anafanya

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Hii inaitwa piga nikupige#Meridianbettz

    Jibu

    Mashabiki tunashukuru kwa makala nzuri

    Jibu

    Hinatakiwa kujiamini tu waondoe of wa watumikie majukumu yao

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    GATUSSO Anajua nn ana kifanya mpambanaji huyo

    Jibu

    ahsante kwa makala

    Jibu

    Acha tuone nini kitatokea maana mpira hautabiliki unaweza ukatamba kumbe matokeo yakaja tofauti

    Jibu

    Habar njema Sana

    Jibu

    Gattuso anajua nn anafanya#meridianbettz

    Jibu

    wewe Gatuso acha kuongea sana mpira dk 90

    Jibu

    Una sema nn we Gattuso eh mpira dk 90 bana

    Jibu

    Gattuso mtu mbaya sana kazi kwanza ugwiji ushapitwa na wakat tayar ana maisha mingine historia itabaki pale pale

    Jibu

    Mbinu za vitisho ni nzuri kwa wapinzani wako unawaweka kwenye maulizo.

    Jibu

    Mtamuweza au mnasema tu

    Jibu

    Ac milan wapo moto sana ila gatuso atahitaji pia alinde heshima yake kwa milan sababu ni klabu alioichezea kwa kipindi kirefu

    Jibu

    Gatusso anamajigambo aisee

    Jibu

    Bora mwenzang

    Jibu

    Habar njema sana 👍

    Jibu

    Nimchezaji mzuri sana#meridianbett

    Jibu

    Ngoja tuone itakuaje?

    Jibu

    asante kwa makala #meridianbet

    Jibu

    Ngoja tuone kwanza

    Jibu

    Don’t miss

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Itaka match ya viwango vya juu

    Jibu

    Wacha tuone

    Jibu

    Acha tuone kwanz

    Jibu

    Kweli maana ni mechi ngumu kwa pande zote mbili

    Jibu

    Mechi itakuwa ngumu sana ngoja tuone dakika 90

    Jibu

    Kiukweli mechi ni ngumi ila mpira dakika90 ngonja tuone nn Kitatoke hapo badae

    Jibu

    Asante kwa kutujuza

    Jibu

    Makala mzuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.