Tetesi zinasema Inter Milan wanafikiria kumnunua kiungo wa kati, Mfaransa N’Golo Kante huku Blues wakiwa tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya kumuuza mchezaji huyo wa Ufaransa, 29.
Zenit St Petersburg wameeleza nia yao ya kumsajili beki anayekipiga katika klabu ya Liverpool Dejan Lovren, 31.

Tetesi zinasema klabu ya AC Milan wanafikiria kumnunua mashambuliaji wa Real Madrid raia wa Serbia Luca Jovic, 22, ambaye anatekodolewa macho na Leicester City na Arsenal.
Kai Havertz anataka kuondoka Bayer Leverkusen kwasababu walishindwa kufuzu katika michunao ya klabu bingwa Ulaya.
Hivyo basi Chelsea watalazimika kuhakikisha wanafuzu katika michuano hiyo ili kumshawishi kiungo huyo wa Ujerumain 21 kujiunga na timu hiyo.

Bayern Munich wana mpango wa kuwanasa viungo wawili wanaocheza ligi kuu ya Ufaransa, Tonguy Ndombele wa Tottenham, 23, na Tiemoue Bakayoko.
Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic, 38, amesema hana uhakika kuhusu mustakabali wake ndani ya AC Milan kwa kuwa hakuna mazungumzo yoyote yaliofanyika kuhusu mkataba ikiwa sasa ni chini ya mwezi mmoja kabla ya mkataba wake kufikia ukingoni.
Mashabiki 5,000 waliruhusiwa kuingia uwanjani kutazama mechi ya kirafiki ya Paris St Germain, mechi iliyoitoa kifua mbele kwa 9-0 dhidi ya wenyeji Le Havre.
Bashiri na meridianibet Upate ofa kibao za kijanja.


warda
Acha tu Abadilishe upepo#Meridianbettz
Adelta
Ni Jambo zuri
Zeiyana
Me naona klabu zina hamasa sana ya kusajiri wachezaji ligi msimu huu kuna moto itakua vizuri kama inter Milan wakimsajiri ngolo
Mwanahamisi
Ni Jambo jema
Latifa juma mohamed
Jambo zuri
Angelina
Habari njema
Tatu
Jambo nzuri#meridianbet
felister
ahsante kwa taarifa
isha
Sawa ngolo kama mzigo unakulizisha nenda broo kakipige
Lydia Emmanuel Magoti
Wacha tuu wabadirishe upepo
Magdalena
Wakimsajili kante watakuwa wamefanya vyema sana
Salma
Ni jambo sahihi
caroline
asante meridianbet kwa taarifa
Khadija
Habari njema#meridianbettz
Franky
Habari njema iziii
Omary lukumbi
Usajili umepamba moto ila kadabla njoo man United mzee umalizie soka lako bado.tunakuhitaj sana mzee ukutane na maswahiba zako kina pogba eric baily
Shafii
Tetesi za soka zisizo na magumashi hua nazipata hapa hapa.
Edgar
Asante kwa taarifa nzuri
Njiku
Gud news tetesi kama hizi zinatusaidia wanasoka kujua habari za wachezaji asante sana meridian
Hope mwaikuka
Badilisha upepo kante kama vp
Isaya massawe
Nashukuru kwa taarifa hizi #meridianbettz
Gabriel
Habar njema sana 👍
farida ahmadi
Asante kwa taarifa
Furahav
Safi sana.
Johnmary joel
Nivizuri kubadirisha klabu ilikujifunza vitu tofautitofauti#meridianbett
devotha
asante kwa taarifa #meridianbet
Rehema
Ni Jambo zuri
Povel tz
Gud update
sabrina
Habari njema hizo
Amiri Kayera
Taarifa nzur
Samiah
Wachatu abadilishe upepo
Asia Abdy
Ni sawa tuu
Ernest
Chelsea watakubali kweli kumuachia Kante?
David Pere
Kwenye usajili kumwnogaa
Dorophina
Wakifanikiwa itakuwa habari njema sana
Genia Sikaluzwe
Inabidi wapambane ili wapate liwe Jambo jema
Saupha mohamed
Good news
Mwajuma
Naona usajili unazidi kupamba moto