Jimenez Akaribia Rekodi ya Yaya Toure.

Jimenez, Mshambuliaji hatari wa Mexico na Klabu ya Wolvehampton anakaribia rekodi ya Upigaji wa penati iliyowekwa na mu Ivory Coast Yaya Toure.

Jimenez amefanikiwa kufunga penati 6 mfululizo, baada ya jana kufunga goli la aina hiyo walipowakaribisha vijana wa Carlo Ancelotti.

 

Jimenez Akaribia Rekodi ya Yaya Toure.

 

Wolves walifanikiwa kuwaadhibu Everton magoli 3-0 katika uwanja wao wa Molineux. Huku Jimenez akifunga penati kwa ustadi.

Daniel Podence alichezewa madhambi katika eneo la hatari na refa Anthony Taylor aliamuru penati ipigwe kuelekea Everton.

Mchezaji huyo mwenye miaka 28, amefanikiwa kufunga penati zote sita alizopiga msimu huu, toka alivojiunga kutoka Benifica.

Mchezaji wa zamani wa Manchester City Yaya Toure ndie anashika rekodi hiyo ya mwenendo mzuri wa upigaji wa penati, akiwa amefunga penati 11 akiwa na klabu hiyo.

Mchezaji wa zamani wa Tottenham na Manchester United, Mshambuliaji Dimitar Berbertov anashika nafasi ya pili, huku nafasi ya tatu ikishikwa na staa wa zamani wa Liverpool Jan Molby wakilingana na Rickie Lambert aliyeichezea Southampton.

Jimenez ana jumla ya magoli 16 katika mechi 35 msimu huu, baada ya kufunga katika mchezo wa jana na kutolewa dakika ya 78.

Yaya ToureΒ  –Β  11

Dimitar Berbertov – 9

Jan MolbyΒ  – 7

Rickie LambertΒ  – 7

Raul JeminezΒ  – 6


Kuna ofa kibao sana unzaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

39 Komentara

    Habari nzuri

    Jibu

    Jimenez Anajitahidi sana sasa Hivi#Meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Jinemez , yupo vizuri sana

    Jibu

    Jimenez yuko vizuri sana

    Jibu

    Jimenez mshambuliaji hatari wa mexico

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Hongera sana jimenez kwa kufunga penat 6 mfululizo unasitahili tunzo

    Jibu

    Jimenez yupo vizuri Sasa hivi

    Jibu

    Jimenez anakuja juu Sana anajua

    Jibu

    Asante kwa taharifa

    Jibu

    Jimenez anakuja vizuri

    Jibu

    Jinemez kwa sasa anajitahid sana#meridianbettz

    Jibu

    Safiii sanaaa habar yakibabe ihii

    Jibu

    Jimenez ni mchezaj hatar sana tangu akiwa benfica na ujio wake kuja Wolverhampton imeleta tija na kuonesha kiwango bora sana mpka.kizishtua club kubwa ulaya kuanza.kuifukuzia sain yake

    Jibu

    Jimenez huyo jamaa atakuja kufika mbali yuko vizuri Sana.

    Jibu

    Jimenez ni fowad hatari na muhim sana pale wolves na vilabu vikubwa vinamuwania

    Jibu

    Pongezi kwake na aendelee hili afike iyo record.

    Jibu

    Ipo poa hii kwa raul ni mchezaji mzuri sanaa

    Jibu

    Jamaa yuko vzur sana

    Jibu

    Mchezaji hatari sana huyu

    Jibu

    Sio kuwa anaikarbia anauwezo wa kuipita kabisa Jimenez kwa upande wng namkubal sana kwan ukiangalia historia yake anastahil kuchukukuliwa kwa dau kubwa kwn Wolves walipochezana dhidi ya West Ham United Jimenez alionyesha kufunga magol mengi sana na kuivunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Javier Hernandez na kuwa Mmexico aliye tupia wavuni goli nyingi kwa msimu mmoja katika ligi ya EPL
    Alianza kazi yake katika mfumo wa vijana wa klabu ya AmΓ©rica kabla ya kuanza katika msimu wa kwanza mwezi Oktoba 2011. Alishinda michuano yake ya kwanza na AmΓ©rica mwaka 2013.
    Hivyo basi kwa dau ambalo wolves wameliweka kwa mshambukiaji huyo liko sana kabisa kuwa ukiangalia Kuna baadhi ya klabu kubwa Kama arsenal na man u walikuwa wanamtaka kutokana na uwezo wake maana n bonge la mchezaji

    Jibu

    Habari nzuri Sana

    Jibu

    Anajua kijana.

    Jibu

    Anapambana vya kutosha#meridianbett

    Jibu

    Jimenez hatari sana kwenye kufumania namba

    Jibu

    Jimenez ni mchezaji ambae anakuja vizuri sana

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kijana yuko vizuri sana

    Jibu

    Jimenez anastail yupo vzr sana

    Jibu

    Mpgaj mzur wa penalty

    Jibu

    Huyu jamaa anakuja kwakasi ya 4G

    Jibu

    Kijana yuko moto akazane

    Jibu

    Anitahidi ili ampiku naye awake Record zake naye

    Jibu

    Jimenez yupo vizuri

    Jibu

    Huyu jamaa ni mpambanaji sana

    Jibu

    Kijana ni mpambanaji sana

    Jibu

    Kasi yake ya uchezaji inafurahisha

    Jibu

    Anajitaidi sanaaa safii

    Jibu

Acha ujumbe