Germany Vs Spain Uso kwa Uso Ligi ya Mataifa Ulaya.


Kandanda la kimataifa linarejea baada ya kukosekana kwa muda mrefu kutokana na janga la virusi vya corona. Huku wababe Germany na Spain wakiumana siku ya Alhamisi.

Baada ya mapumziko ya zaidi ya miezi tisa , kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani kikiongozwa na kocha Joachim Loew , na vikosi vingine vya kimataifa barani Ulaya , vinarejea uwanjani katika kinyang’anyiro cha Ligi ya mataifa.

 

Germany Vs Spain Uso kwa Uso Ligi ya Mataifa Ulaya.

Athari za janga la virusi vya corona bado linatikisa na michezo hiyo itachezwa bila ya mashabiki kuwapo uwanjani.

Kiasi ya siku 286 zimepita baada ya kuipiga mweleka Ireland ya kaskazini kwa mabao 6-1, Joachim Loew anakusanya kikosi chake tena leo.

Die Manschaft (Germany) itafanya matayarisho yake mjini Stuttgart kwa muda wa siku chache tu kwa ajili ya pambano la Alhamisi la Ligi ya Mataifa dhidi ya Uhispania kabla ya kwenda Basel ambako kikosi hicho kitakutana na miamba wa Uswisi siku ya Jumapili.

 

Germany Vs Spain Uso kwa Uso Ligi ya Mataifa Ulaya.

Mashujaa walionyakua mataji matatu msimu huu wa Bayern Munich Manuel Neuer, Joshua Kimmich, Leon Goeretzka na Serge Gnabry wamepumzishwa katika mtanage huo wa Germany na Spain.

Italia ambayo inaonekana kuimarika tena ni wenyeji wa Bosnia siku ya Ijumaa, na Uingereza inafanya ziara Iceland siku ya Jumamosi. Mabingwa wa dunia Ufaransa pia wanasafiri kwenda Sweden.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

46 Komentara

    Ahsanteni kwa habari njema tuliimic

    Jibu

    mechi kal sana 👍

    Jibu

    safi sana ila german hawajawahi niangusha ata mara moja

    Jibu

    Mechi kabambe

    Jibu

    Mechi zimetulia

    Jibu

    Mtanange wa kufa mtu#Meridianbettz

    Jibu

    Safii

    Jibu

    German wapo vizuri najua watafanya poa

    Jibu

    Siwez kukosa mechi za pesa hizo

    Jibu

    Weuwee I can’t wait

    Jibu

    Mechi ngumu Sana

    Jibu

    Mechi zote kali
    @meridianbettz

    Jibu

    Mechi ngumu

    Jibu

    England na Italy zimeimarika,lakini Spain na Ujerumani matokeo yao yamekuwa ya kususua#meridianbettz

    Jibu

    Game ngumu

    Jibu

    Hii mechi sio ya kukosa patachimbika kiwanjani.

    Jibu

    Mechii kalii kinomaa

    Jibu

    Tunaisubiri kwa hamu

    Jibu

    Hapa tutaona utam wa kandanda germany wataibuka kidedea

    Jibu

    mechi kali sana hii

    Jibu

    Germany hawawezi kuniangusha

    Jibu

    Mmh Germany itakua kama kawaida

    Jibu

    Don’t miss

    Jibu

    Tunasubir sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Mechi kali

    Jibu

    Tunasibiri

    Jibu

    Mechi Kali Sana hiii

    Jibu

    Game ngumu hii wote wana wachezaji wazurii

    Jibu

    Wababe wanakutana itakua mechi kalii

    Jibu

    Ni mechi yenye ushindan mkubwa sana ila spain itaondoka mbabe

    Jibu

    Bonge la mechi

    Jibu

    Can’t wait for this

    Jibu

    Ni mechi zenye ushindani mkubwa

    Jibu

    Mechi kali sana

    Jibu

    Hii mechi ngumu sana

    Jibu

    England na Italy zimeimarika,lakini Spain na Ujerumani matokeo yao yamekuwa ya kususua

    Jibu

    Mtanange mkali Sana

    Jibu

    Miamba inakutana leo

    Jibu

    Kandanda laina yake apatoshi hapo wote visu apo nyavu sijui itatingishika kwenye lango lanani leo apo

    Jibu

    Hii ni mechi ya kisasi na kila Taifa likiwa na ingizo kubwa la Damu changa

    Jibu

    apo chacha ndo pabaya

    Jibu

    Hatari sana.

    Jibu

    Mambo mazuri yanakuja!!!

    Jibu

    Mechi ilikuwa ngumu sana mpaka wakatoa suluhu

    Jibu

    Mko na habari nzuri

    Jibu

Acha ujumbe