Golovkin Amtwanga Szeremeta na Kutwaa IBF.


 

Mcheza masumbwi hatari, Gennadiy Golovkin amempiga kwa alama Kamil Szeremeta katika pambano la raundi 7 la IBF jana usiku.

Golovkin alimpiga na kumdondosha Szeremeta katika raundi ya kwanza, pili, nne na saba na kushinda taji lake la 21 la uzito wa kati na kuwa mcheza masumbwi wa kwanza kufanya hivyo.

 

Golovkin amevunja rekodi ya kutetea mataji 21 ya uzito wa kati ambayo ilikuwa inashikiliwa na Bernard Hopkins.

Ushindi huo inakuwa ni kengele ya hatari kwa mpinzani wake mkubwa Saul Canelo ambaye alishinda taji la WBA na WBC uzito wa kati siku ya Jumapili dhidi ya Callum Smith.

Ni ushindi wa 36 kati ya Mashindano 43 ambayo Golovkin ameshiriki na kumfanya kuwa mwana masumbi hatari katika zama hizi kwa uzito wake.

 


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

13 Komentara

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Golovkin ngum jiwe

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Ni mtu makini astahili pongezi

    Jibu

    Congrats

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    🔥

    Jibu

    Pongezi mana ulistahili hilo

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Ongera yake

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    Nilijua tu atapigwa mtu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.