Gomes : Nitabaki Kuwa Shabiki wa Simba SC.

 

Baada ya kuachana na Simba SC, aliyekuwa Kocha Mkuu Didier Gomes, amesema klabu hiyo itabaki moyoni mwake na ataendelea kuishabikia kutokana na ushirikiano mkubwa alioupata muda wote aliokuwapo.

 

Gomes amesema ataendelea kuiunga mkono timu katika michuano yote na anaitakia kila la kheri katika maisha mapya bila yeye.

Gomes pia amemshukuru Mwekezaji Mohamed Dewji ‘Mo’ kwa ukishiriakiano mkubwa aliompa, Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez, wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki kwa sapoti kubwa waliyompa.

“Napaswa kuwajibika kwa matokeo ya Jumapili, tayari tulikuwa mbele kwa mabao matatu wakati tumebakiwa na dakika 45 tu lakini kitendo cha wapinzani kusawazisha na kututoa ni suala lisilovumilika na nimeamua kuwajibika.

Simba inabaki kuwa familia yangu, tumepata mataji mawili pamoja, Ligi Kuu na Azam Sports Federation Cup, kwa ukaribu na maisha tuliyoishi nabaki kuwa shabiki namba moja na ninaitakia kila la heri,” amesema Gomes.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.