Brahim Diaz Kurejea Tena Ac Milan

Brahim Diaz anarejea baada ya kukosekana tokea kwenye mapumziko ya kimataifa, baada ya kukutwa na maambuki ya uviko-19, Diaz amekosa mechi zote za Ac Milan tokea apate uviko-19.

Milan wamekuwa na matatizo ya kiungo mshambuliaji tokea wamempoteza Hakan Calhanoglu, kurejea kwa Diaz kunafufua tena matumaini ya safu kiungo cha Ac Milan, pia beki wa kushoto Theo Hernandez anarejea kikosini tayari kwa mchezo ujao.

Brahim amerejeshwa Ac Milan tena baada ya kuitumikia timu hiyo kwa mkopo  msimu uliosha huku akicheza nyuma ya Hakan Calhanoglu akiwa kama mbadala wake, Diaz amecheza michezo saba na amefanikiwa kufunga magoli matatu na kusaidia moja, moja ya goli lake ni lile alilotokea benchi na kuisaidia Milan kutokupoteza pointi tatu.

Milan wamempoteza Calhanoglu  kwa mahasimu wao Inter Milan, kumpoteza Hakan kwa usajiri huru kumemfanya Diaz kuingia moja kwa moja kwenye kikosi cha Rossoneri na kuwa tegemeo la kuingoza safu ya ushambuliaji.

Brahim anaichezea milan kwa mkopo akitokea Real Madrid mpaka mwaka 2023 ndipo mkataba wake unakoma huku kukiwa na kipengere cha kumnunua jumla kama itahitajika.


 

MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.