NBA: Jazz, Lakers Ushindi Tu!

NBA msimu wa 2021/22 unaendelea kusogea, burudani inaendelea kunoga kila uchwao. Utah Jazz, LA Lakers, Warriors ni ushindi tu.

Jazz walikua uwanjani kuchuana na Denver Nuggets katika mchezo wa 4 na NBA. Huu ni mchezo ambao ulizikutanisha timu mbili zenye matokeo tofauti msimu huu. Jazz alikuwa hajapoteza mchezo wowote huku Nuggets akiwa ameshapoteza michezo 2 na kushinda 1.

Mchezo umemalizika kwa Jazz kushinda kwa pointi 122 kwa 110 dhidi ya Nuggets. Upande wa pili wa NBA, LA Lakers wamefanikiwa kuwaburuza San Antonio Spurs kwa pointi 125-121.

Golden State Warriors wameshinda kwa pointi 106 dhidi ya 98 za Oklahoma City Thunder. New York Knicks alishinda kwa pointi 142 dhidi ya Philadelphia 76ers (pointi 99)


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe