Guardiola : Tulistahili Ushindi.


 

Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa vijana wake walistahili kushinda kwa kuwa walijituma mwanzo mwisho dhidi ya blues wakiwa darajani.

Manchester City ilishinda mabao 3-1 dhidi ya Chelsea ya Frank Lampard wakiwa ugenini ndani ya Stamford Bridge kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

 

Mabao ya City yalifungwa na Likay Gundogan dakika ya 18, Phil Foden dakika ya 21 na Kevin De Bruyne dakika 34 huku lile la kufuta machozi kwa Chelsea likifungwa dakika za lala salama na Callum Hudson-Odoi dakika ya 90+2.

Ushindi huo unaifanya Manchester City kuwa nafasi ya tano na pointi zake kibindoni ni 29 huku Chelsea ikiwa nafasi ya nane na pointi 26.

Guardiola amesema:”Haikuwa kazi rahisi tukiwa ugenini na tumeanza 2021 kwa kupata pointi tatu ni jambo la furaha kwetu na wachezaji kiujumla wanastahili pongezi,” .

 


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

13 Komentara

    Hongera yao ilikuwa mechi kali sana

    Jibu

    Manchester City wako vizuri

    Jibu

    Pongez nyng kwenu kwa point tatu muhim

    Jibu

    Manchester siti wako poq

    Jibu

    Pongezi kwenu

    Jibu

    Juhudi zao ndo zimewapa ushindi

    Jibu

    Ushindi kwao nisahihi

    Jibu

    Pongezi kwao man city

    Jibu

    Pongezi kwao man

    Jibu

    Nikweli kabisa

    Jibu

    Ni kweli kabisa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongez ziwafikie

    Jibu

Acha ujumbe