Curry,LeBron James Ni Ushindi Tu!!

Mambo yametaradadi kunako NBA msimu huu. Stephen Curry na LeBron James kwao ni ushindi tu!

Golden State Warriors walikuwa uwanjani wikiendi hii kupambana na Portland Trail Blazers. Huu ni mchezo ambao Curry ameweka rekodi yake binafsi ya kufunga pointi 62 katika mchezo mmoja.

Stephen Curry (katikati) akiwapatia Warriors pointi kwa kupachika mpira kwenye kikapu.

Stephen alikuwa kwenye kiwango thabiti na kuisaidia Warriors kupata ushindi wa pointi 137-122.

Upande wa pili, LA Lakers waliwaburuza Memphis Grizzlies kwa ushindi wa pointi 108-94, huu ni ushindi wa 3 mfululizo kwa mabingwa hawa watetezi wa NBA.

LeBron James akipambana na mlinzi wa Memphis Grizzlies

LeBron James alipachika pointi 22 na kutoa pasi 8 za magoli akichagiza matokeo ya ushindi huo.

Matokeo ya michezo ya NBA iliyochezwa Jumapili hii:

Boston Celtics 122-120 Detroit Pistons, Washington Wizards 123-122 Brooklyn Nets, Denver Nuggets 124-109 Minnesota Timberwolves, Utah Jazz 130-109 San Antonio Spurs, Chicago Bulls 118-108 Dallas Mavericks, Los Angeles Clippers 112-107 Phoenix Suns


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

13 Komentara

    Currylebron na James mwaka kwao umeanza vizuri sana

    Jibu

    NBA wameanza mwaka vizuri

    Jibu

    Safi sana mwanzo mzuri

    Jibu

    Safiii Sana wameuwanza mwaka vizuri

    Jibu

    NBA kumenoga

    Jibu

    NBA wako makini

    Jibu

    Nawakubal sana nyie watu

    Jibu

    Nb wako vizuli

    Jibu

    Wameanza na mwanzo mzuri sana NBA kumenoga

    Jibu

    Kazi Kazi

    Jibu

    NBA nawakubali sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Nba wew

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.