Kocha wa klabu ya AS Roma Jose Mourinho amefungiwa michezo miwili na kupigwa faini inayokaribia  £17,000 baada ya kumshtumu referee kuwa ametumwa na klabu ya Juventus.

Kocha huyo wa wazamani wa vilabu vya Chelsea, Manchester United, Real Madrid na Inter Milan kwa sasa ana wakati mgumu baada ya kushinda michezo miwili tu kwenye michezo nane ya mwisho kwenye ligi kuu ya italia Serie A.

Jose Mourinho, Jose Mourinho Afungiwa na Kupigwa Faini, Meridianbet

Kikosi cha Giallorossi kilitoka nyuma na kurudisha goli mbili na kutoa sare siku ya Jumamosi na Verona, lakini “The Special One” alitolewa nje ya uwanja na kwenda kumalizia mpira akiwa anaungalia jukwani.

Chama cha soka nchini Italia kimempiga faini na kumzuia michezo miwili kocha wa Roma Jose Mourinho baada ya kumtolea kauli mwamuzi Luca Pairetto kuwa ametumwa na klabu ya Juventus, baada ya kutokuridhishwa na maamuzi yake kwenye mchezo huo.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa