Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Edinson Cavani hatasafiri na timu kwenda Hispania kwenye mchezo wa 16 bora kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya klabu ya Atletico Madrid.

Edinson Cavani amekosa michezo mitatu kutokana na majeraha ya groin, kocha wa muda Rangnick amethibitisha kwamba mchezaji huyo mwenye miaka 35 hataweza kusafiri na timu kwenda madrid, alipohojiwa na waandishi kuhusu Cavani kuwepo kwenye kikosi kitachosafiri alijibu.

Edinson Cavan
Edinson Cavan

Edi hata kuwepo kwenye sehemu ya watu watakao safiri, hajafanya mazoezi ya pamoja na timu kwa wiki kadhaa na hata kuwepo kwenye safari.”

alipoulizwa kuwa lini anatarajia cavani kurudi kwenye kikosi chake aliongezea, “anatatizo la groin, na kadri atavyojiskia kutokuwa sawa kukimmbia hatajumuishwa, haileti maana kumrudisha mazoezuni na kumlazimisha kufanya mazoezi, nadhani anauzoefu wa kutosha wa kujua yeyemwenye ikiwa yupo sawa kurudi tena.”


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa