Iron Mike Tyson anadai kifo cha mama yake ilikuwa ni tukio bora zaidi maishani mwake na alihalalisha madai yake kwa maelezo ya ajabu.

kabla ya kuwa bingwa wa uzito wa juu zaidi duniani katika historia, Mike Tyson alikuwa na matatizo mengi utotoni. Ingawa mama yake hakupata kuona matunda ya mtoto wake kama bondia, Tyson hivi majuzi alitoa madai ya kufurahisha juu yake ambayo yaliwashangaza mashabiki.

“Unajua, moja ya mambo mazuri ambayo yamewahi kunitokea ni kwamba mama yangu alifariki. Kwa sababu wakati mwingine angenidekeza. Kulikuwa hakuna njia yakuingia kwenye mapambano ya mitaani. Hakuna jinsi ningeweza kujifunza kusimama kwa ajili yangu mwenyewe,” Tyson alisema.

“Mama yangu alinifanyia mengi, kila mara alikwenda kituo cha polisi kwaajili ya kunitoa na alinipiga mbele ya polisi,”

Mama yake Tyson Lorna Tyson alifariki mwaka 1982 kwa cancer miaka mitatu kabla ya ‘The Baddest on the Planet’ kuwa bondia wakati huo Tyson alikuwa na miaka 16 pekee.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa