Klabu ya Tottenham wanatarajia kuchelewa kutoa offa mpya ya mkataba kwa Harry Kane mpaka hapo mchezaji huyo atakapofanya tathimini ikiwa atahitaji kubaki na timu hiyo au kuondoka.

Harry Kane alihitaji kuondoka kwenye klabu hiyo majira ya kiangazi huku akidai kuwa klabu hiyo haina nafasi ya kushindana na kuchukua makombe, huku klabu ya Manchester City walikuwa mstari wa mbele kuwania saini yake, lakini klabu ya Tottenham walikataa offa yao na kumpakisha.

Tottenham

Kane alikosa michezo miwili mwezi August ili kushinikiza kuondoka wakati dirila la usajiri likiwa bado halijafungwa, kufuatiwa sintofahamu ilyokuwepo huku akisema kuwa bado yupo likizo, huku akicheza chini cha kiwango kwenye micheo 13 ya ligi kuu na kufunga goli moja tu, kabla ya kuanza kuonesha makali yake miezi miwili iliyopita.

Harry Kane amebakisha miaka miwili kwenye mkataba aliosaini mwaka 2018 baada ya ashindano ya kombe la dunia, Tottenham hawana haraka ya kumpa mkataba mpya na watasubili mpaka Kane atakapoamua kuanzisha mazungunzo tena ikiwa atataka kuondoka au abakie kwenye klabu hiyo na ndicho Spurs wanachotajia kwa sasa.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa