Klabu za Simba SC na Yanga SC zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka suluhu ya 0-0 katika Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Mkapa, jana Jumamosi Aprili 30, 2022 Jijini Dar es Salaam.

 

yanga, Kariakoo Dabi : Yanga SC v Simba SC Hakuna Mbabe., Meridianbet

Kwa matokeo hayo Yanga imeendelea kuongoza ligi kwa kufikisha pointi 55 ikiwa na michezo 21 wakati Simba ikishika nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 42 katika michezo 20.

Presha ilikuwa kubwa kwa timu zote kabla ya mchezo na hata wakati mchezo ukiendelea lakini timu zote zilishambuliana kwa zamu.

Endapo Simba SC atashinda katika mchezo unaofwata wa kombe la shirikisho la Azam basi kutakuwa na uwezekano mkubwa Dabi ya Kariakoo ikapigwa tena mwaka huu katika nusu fainali ya mashindano hayo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa