Klabu ya Monaco ya nchini Ufaransa imemsajili mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ujerumani Kevin Volland kutoka Bayer Leverkusen kwa mkataba wa miaka minne hadi mwaka 2024.
“Nimefurahi kujiunga na klabu hii yenye historia kubwa na yenye kiu ya mafanikio”, alisema Volland.

“Nimekuwa nikifuatilia matokeo ya awali ya timu hii na hivi sasa ninafurahi kujiunga na klabu hii na kufanya kazi nayo katika kuleta ujuzi wangu kwenye timu”, aliongeza Volland.
Monaco iliyokuwa ikinolewa na kocha wa zamani wa Bayern Munich Niko Kovac inasemekana kuwa imetoa kibunda cha euro milioni 20 kwa ajili ya kumpata mshambuliaji huyo.

Kevin alijiunga na Levekusen mwaka 2016 akitokea Hoffenheim na amefumania nyavu mara 77 katika michezo 247 ya Bundesliga.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


magdalena
habari njema sana kwa monaco karibu kijana upige mpira kwa juhudi tunahitaji mabadiliko
Gabriel
Bado ninamatumain na uwezo wake Kevin Volland kuwa bado yuko vzur sana na atafanya vzur atakapojiunga na Monaco hv gud news 👍
felister
karibu chamani volland mkishirikiana kwa pamoja mtaleta ushindi
Mwanahamisi
Gud news
Neema
Karibu sana kevin Volland ujitahidiii kuongeza juhudii
Mwajumah
Monaco wamefanya Jambo la maana sana kumsajili huyu jamaa maana anajua sana namkubali#Meridianbettz
Adelta
Kevin volland Yuko vizuri tunamkaribisha Sana monaco@meridianbettz
Caroline
Karibu monacco chama la wajanja
Dorophina
Kila lakheri Kelvin karibu monaco
Rehema
Safi sana kelvin tunakukaribisha monaco
Ernest
Usajili mzuri, Natamani kuiona Monaco ikirudi kwenye chat yake
lombo
mambo ni moto na meridianbet
Sauda
Karibu sana Monaco
Nasra
Meridianbet kumekucha
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwa krabu ya Monaco kushuka jembe kuipigania Monaco msimu utakao kuja apatoshi timu zimesukwa kiukamilifu
Hilda
Kila la kher kelvn uko monaco
Fatina mfigi
Karibu monaco kijan
rama
usajili mzuri
Shani
Mambo moto moto
Sabrina
Monaco wamemchukua mchezaji mzuri sana
Johnmary joel
Monaco wamepata jembe#meridiannettt
Rehema Dickson
Yuko vizuri tunamkaribisha Sana monaco@meridianbettz
Furahav
Pambana sasa.
aisha
This is big deal congoree monaco
MnonganeJR
Fundi wa mpira pongezi kwake kujiunga na monaco#Meridianbettz
Khadija
Karibu monaco
Povel
Pongezi volland kwa kujiunga na wababe wa france fc Monaco
Saupha mohamed
Good news
Frank P
Kaenda kuungana na Fabregas
Fatuma kasomo
Usajili mzuri kila la kheri
Amiri Kayera
Kila la kher kweny club yake
Agness
Safi sana karibu Monaco
Theonestina
Safi
Theckla
Vizuri
Rose kapinga
Njoo tusakate kandanda!!!!
Genia Sikaluzwe
Good 👍
Shafii
Ni usajiri mzuri atakua sehemu kubwa ya msaada kwenye kikosi cha Monaco.
Ester jackson
Habari njema hizi
farida ahmadi
Kevin nouma Sana
Samiah
Safi sanaaaa
Latifa juma mohamed
mkishirikiana kwa pamoja mtaleta ushindi, wellcome kevin
Hope mwaikuka
Hongera zake
warda
Monaco sio pabaya