Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Baba yake Lionel Messi na wakala wake, Jorge, wamekutana na rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu, aliyesema kwamba klabu hiyo haitafanya mazungumzo ya kumuuza mshambuliaji huyo wa Argentina, 33.

Mkutano wa kwanza tangu Messi kutoa ombi la kuondoka klabu hiyo ukiishia bila makubaliano huku Barcelona ikisema ofa ya miaka miwili kwa mchezaji huyo bado ipo.

Kima cha malipo ili Messi aruhusiwe kuondoka Barcelona huenda kikawa kidogo pengine hata euro milioni 100.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema Manchester United imealikwa katika majadiliano na Bayern Munich kuhusu kiungo wa kati Thiago Alcantara, 29.

Kocha mpya wa Barcelona Ronald Koeman anataka klabu hiyo kufanya kila linaloweza kumsajili kiungo wa kati wa Liverpool na Uholanzi Georginio Wijnaldum, 29.

Aston Villa inakabiliwa na ushindani kutoka kwa Newcastle katika mbio zake za kutaka kumsajili mshambuliaji wa Bournemouth na England Callum Wilson, 28.

Tetesi zinasema Paris St-Germain imepunguza fursa ya uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa, Matteo Guendouzi, 21, kutoka Arsenal.

DC United imechukua hatua ya kumtafuta mshambuliaji wa Juventus Gonzalo Higuain, 32, na pia inamnyatia kiungo wa kati wa Everton kutoka Iceland, Gylfi Sigurdsson, 30.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema Mchezaji wa kimataifa wa Argentina Gonzalo Higuain amepata ofa kutoka Ufaransa, England, Uhispania na China, kulingana na ajenti wa mchezaji huyo.

Watford huenda ikafikiria kumruhusu mshambuliaji Troy Deeney, 32, kuhamia kwingine kwa mkopo na kumrejesha ikiwa watapandishwa daraja tena katika Ligi ya Primia.

Tetesi zinasema Mlinzi wa Uhispania Eric Garcia, 19, anasema ataondoka Manchester City mkataba wake utakapoisha mwisho wa msimu.

West Brom imeimarisha juhudi zake za kumtafuta winga wa England anayekipiga katika kikosi cha umri wa chini ya miaka 21 Grady Diangana, 22, kwa kutoa ofa kwa West Ham, makubaliano ambayo huenda yakapandisha kima chake hadi pauni milioni 18 huku kukiwa na uwezekano wa kima hicho kuengezeka zaidi.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Washambuliaji wa Arsenal Ainsley Maitland-Niles na Kieran Tierney, wote wakiwa na umri wa miaka 23, watasalia klabu hiyo baada ya kocha Mikel Arteta kusema wazi kwamba anataka wawe sehemu ya kikosi chake.

Kiungo wa kati wa West Ham na England Declan Rice, 21, ameombwa kusalia katika klabu hiyo na chanzo ambacho si cha kawaida. WWE wrestler Triple H.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

40 Komentara

    barca wamuachie tu mwamba asepe maana wakimlazimisha sana kubaki anaweza akawafanyia madudu

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Barca wanamlazimisha Messi kubaki wanini wamuache tu aende anapopataka yy abadilishe upepo#Meridianbettz

    Jibu

    Eric Garcia ni Beki mzur sana amekua akipewa nafasi ya kucheza mara kwa mara na meneja wa Manchester City Pep Guardiola, na ameonyesha kuwa na uwezo mkubwa kisoka, lakini mpaka sasa amegoma kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia matajiri hao wa mjini Manchester
    Kwa uwezo wa bek huyu inawatamanisha club nying kutaka kumsajil maana uwezo wake n mkubwa sana kwenye upande wa ulinzi kwa usajil wake umekaa poa na maana namkubal sana huyu beki

    Jibu

    Mashabiki tunashukuru kwa taarifa
    @meridianbettz

    Jibu

    barca hawana aja ya kumlazimisha mtu kuendelea kubakia klabuni ili hali mwenyewe hataki wamuache tu aende zake na iyo ofa ya miaka miwili wanayotaka kumpa waifutilie mbali

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Barca hawana haja ya kumlazimisha mtu aendelee kubaki

    Jibu

    Habari nzuri sana Asante meridian bet

    Jibu

    Mashabiki tunashukuru kwa taarifa
    @meridianbettz

    Jibu

    Messi akubariane tu na Barca kwa hiyo ofa aliyoambiwa ya miaka miwili ndio haachane nao laasivyo watamkatalia kuondoka Barca kwasababu bado wanamuhitaji

    Jibu

    Kwa heshima tuu ya Messi Barca wanatakiwa wamuachie kuchagua Mustakabari wa Maisha yake ya Soka

    Jibu

    Inavyoonekana koeman hana mpango kabisa wa kufikilia mess ameona bora apambane na wengine

    Jibu

    Barcelona wasimng’ang’a nie Messi mwisho wasiku watakuja kumona mbaya zaidi mtu anaitaka kusepa wamuache aende timu anayo iyona yeye ipovizuri kwake

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Asantee kwa taarifa

    Jibu

    Uamuzi ni wake, mwacheni aende anapotaka.

    Jibu

    Asnteni kwa makala nzur meridian

    Jibu

    Mmmh seseke la messi bado linaendeleaa ngoja tuone mwisho itakuwaje!

    Jibu

    mhh barcelona hwaitaji kabisa kumuachia messi yani

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Muacheni aende mahali moyowake uko tayari kwenda kuchezea#meridianbett

    Jibu

    Taarifa nzur za usajir

    Jibu

    Habari nzuri.

    Jibu

    Thiago fundi wa mpira nategemea atafanya makubwa akija EPL #meridianbettz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Triple H kumbe ni shabiki wa westham

    Jibu

    Nice update za michezo na burudani

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Saf Kwa habar nzur za usajir

    Jibu

    Asante meridianbet kwa makala nzuri

    Jibu

    Duuu sio kwa kulazimishana huko

    Jibu

    Messi habari ya mjini,mtu ukiwa fundi bwana wanapata tabu sanaaaa!!!!!

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Isingekua jambo rahisi barca kumuachia messi mfalme.

    Jibu

    Messi hana maamuzi yake kubaki Barcelona hama kuondoka

    Jibu

    Kwa jinsi messi walivyo itumikia timu hiyo wangemuaga kwa heshima kubwa kuliko kufanya hivyo

    Jibu

    Nihabar njemaaa sanaaa

    Jibu

    Zko poa

    Jibu

    Huwaga mna habari nzuri sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.